Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

Hayo maneno tu,kama akileta chokochoko unakamatwa.
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Chagu , mmepewa wabunge 28 bure bado mnahangaika na wagombea hawa wa kike ?!. Ni mgombea yupi wa Jimbo wa Cdm hana kesi za kubumba police ?!. Huu uchaguzi mkisheherekea ushindi mtakuwa hamnazo

Ccm iliyofanya siasa pekee yake miaka mitano inaogopa uchaguzi ?!. Inafanya hila za kuwaondoa wapinzani ambao hawajajitangaza miaka mitano ?!.
 
Suala la msingi ni kufuata sheria, kuwa mpinzani isiwe sababu ya kuvunja sheria.
 
Viongozi wa dini hilo hawalioni,kazi kujipendekeza kwa selikali,halafu mtu anahubiri uvunjifu wa amani
 
CCM ni nyakanyaka nchi nzima - mzee mzima safari hii anaumbuka!! panda ubaya - vuna ubaya.
1603728165125.png
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
 
Back
Top Bottom