Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

Chama cha zamani kinacho hubiri amani. Ndicho kina waogopa wanawake.
Tumeona mapolisi wakimshambulia Esther Matiko, tumeona juzi Esther Bulaya gari yake kupigwa mawe na Ccm, tumeona Halima Mdee akiebda polisi kulalamika kufuatiluwa na wajinga fulani polisi wakamgeuzia kibao. Leo ni Peneza tena. Sio Ccm wala polisi wanao jitokeza kukemeahuu ujinga.
Siro elewa kimya chako juu ya ujinga wa Ccm ni hatari kwa Taifa..
 
kituo cha polisi sehemu salama...nilifikiri kwa wasojulikana
 
Kiingereza kibovuuu, grammatical errors kibao, ...
imepenya hioo matakonih
siku zote wanaoharibu uchaguz wakiona mambo yamefikia tamati ni ccm
ila mnaondoka mwaka huu, jino kwa jino
 
Pole yako mbona kama ya kinafiki mkuu pascal
Laiti ungelijua moyo wangu kwa huyu dada... usinge sema!.
P
 
"...AMEKAMATWA BAADA YA KUFANYIWA VURUGU NA WANACCM..."!!!?

Mada za namna hii zinaumiza akili.

Hivi habari kama hii inaweza kuwa kweli ndani ya nchi hii, na wahusika (wanaoiongoza nchii) wanapoisoma wanajisikia raha tu? Hakuna kinachowasumbua akilini mwao kwa taarifa kama hii (kama ni taarifa ya kweli?)
 
Hama Hama tanzania ukabinuekiuno huko kwa makiti moto yakubinue, hakuna haja ya kutaka utawala wa kibeberu wakati unayo nafasibya kwenda ukakutana nao huko kwao.
 
Hama
Hama tanzania ukabinuekiuno huko kwa makiti moto yakubinue, hakuna haja ya kutaka utawala wa kibeberu wakati unayo nafasibya kwenda ukakutana nao huko kwao.
Ndugu yetu,
Mungu na akupe ujasiri wa kumkataa shetani na mambo yake yote. Unayo nafasi ya kutubu na kuwa mtu mpya na mwenye tabia njema zinazokubalika kwa Mungu.
 
Watia huruma, kumbe pia u mwana maigizo!
 
CCM ni nyakanyaka nchi nzima - mzee mzima safari hii anaumbuka!! panda ubaya - vuna ubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…