Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hivi unadhani siku wakikua na kupata akili wataendelea kuishabikia ccm? Sahau. Hata sisi tulikuwa tunatolewa maskuli kwenda kuishabikia Ila tulipokuja uraiani kupambana maisha ccm hatuna habari nayo.Wanawajenga kuipenda CCM tangy utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Akikosa ubunge basi asipewe tena nafasi ya naibu spika wa Bunge ili kuhakikisha kuwa nafasi hiyo inatunza neutrality! Kwa nafasi hiyo anaweza kumnyima hakimbunge aliyemshindwa jimboni. Ninaamaini kuna wabunge watatu wa Chadema amabo ni vigumu sana kuwang'oa: Sugu, Msigwa na Profesa Jei.
Mara ccm itashinda majimbo mawili tuHao wepesi wagumu ni wale wa Musoma.
Unajua ccm ina wanachama wangapi leo?Hivi unadhani siku wakikua na kupata akili wataendelea kuishabikia ccm? Sahau. Hata sisi tulikuwa tunatolewa maskuli kwenda kuishabikia Ila tulipokuja uraiani kupambana maisha ccm hatuna habari nayo.
Kwa sasa upo chama ganHawaja anza leo kutumia watoto, tangu zamani walitutumia hata sisi tulipokuwa watoto nakumbuka sana walituimbisha nyimbo zao za Chama chajenga nchi ila tulipopata ufahamu tuliachana na tumeachana na huo ujinga wa Chama
Acha choyo bhana wacha wapigwe pesa
LRA wa Uganda waliwatumia sana watoto ktk vita vya msituni. Kwasababu bunduki kwao ni kama toy. Tusikubali mambo ya aina hii.Wanawajenga kuipenda CCM tangu utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Unajua umri wa kupiga kura ni miaka mingapi?Unajua ccm ina wanachama wangapi leo?
Alianzia kupima upepo huko alipoona pagumu ndio akaja Mbeya. Hapa Mbeya tumaini lake kuu ni uchakachuaji wa Chalamila & co.Tulia angeenda Kugombea kwao huko Rungwe angepata jshindi mkubwa sana wa kishindo.
Nani amemdanganya huyu dada?...
Alianzia kupima upepo huko alipoona pagumu ndio akaja Mbeya. Hapa Mby tumaini lake kuu ni uchakachuaji wa Chalamila & co.Tulia angeenda Kugombea kwao huko Rungwe angepata jshindi mkubwa sana wa kishindo.
Nani amemdanganya huyu dada?
Kwa nini CCM hawapendi Amani?
Sugu ni Rais wa Mbeya.
Imbombo jilipo!Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa...
Mara zote shangwe za watu kama hawa huwa zinaashiria kitu kikubwa na kizito muno kutoka kwa Mungu. Hii ni dalili mojawapo njema sana kwa Mh. Tulia.Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa...
CDMKwa sasa upo chama gan
Jamani mtatuua kwa kucheka, nimecheka Sana dah vyeo hiviKatika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa...
Kwa wale Wahenga wenzangu, mnakumbuka Korea Kaskazini ilikuwa inaongozwa na Kim Il Sung. Watoto wadogo walikuwa wakiambiwa walie na kumuomba mungu wao ili awaletee biskuti na pipi...
Sasa huku kilichomleta ni nini? Si angesubiri ateuliwe? Alifikri huku ni rahisi kihivyo? Wacha li-Sugu limdhalilishe!Huyo n Naibu speaker tuu,hata mjikojoleee bungeni anarudi Sasa sijui mnahangaika nini!kwani awamu iliyopita mlimchagua?