Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini, Tulia Ackson afanya kampeni na watoto wadogo

Hawaja anza leo kutumia watoto, tangu zamani walitutumia hata sisi tulipokuwa watoto nakumbuka sana walituimbisha nyimbo zao za Chama chajenga nchi ila tulipopata ufahamu tuliachana na tumeachana na huo ujinga wa Chama
 
Akikosa ubunge basi asipewe tena nafasi ya naibu spika wa Bunge ili kuhakikisha kuwa nafasi hiyo inatunza neutrality! Kwa nafasi hiyo anaweza kumnyima haki mbunge aliyemshinda jimboni. Ninaamaini kuna wabunge watatu wa Chadema ambao ni vigumu sana kuwang'oa: Sugu, Msigwa na Profesa Jay.
 
Wanawajenga kuipenda CCM tangy utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
Hivi unadhani siku wakikua na kupata akili wataendelea kuishabikia ccm? Sahau. Hata sisi tulikuwa tunatolewa maskuli kwenda kuishabikia Ila tulipokuja uraiani kupambana maisha ccm hatuna habari nayo.
 
Hao wepesi wagumu ni wale wa Musoma.
Akikosa ubunge basi asipewe tena nafasi ya naibu spika wa Bunge ili kuhakikisha kuwa nafasi hiyo inatunza neutrality! Kwa nafasi hiyo anaweza kumnyima hakimbunge aliyemshindwa jimboni. Ninaamaini kuna wabunge watatu wa Chadema amabo ni vigumu sana kuwang'oa: Sugu, Msigwa na Profesa Jei.
 
Huyu Jiwe (CCM) amefuzu katika kada gani? Maana ni kiumbe wa ajabu/ hovyo kabisa anakatisha ratiba za shule ili watoto waende kumsikiliza kwenye kampaini zake !MWIZI WA VYETI NAMBA MOJA TANZANIA
 
Hivi unadhani siku wakikua na kupata akili wataendelea kuishabikia ccm? Sahau. Hata sisi tulikuwa tunatolewa maskuli kwenda kuishabikia Ila tulipokuja uraiani kupambana maisha ccm hatuna habari nayo.
Unajua ccm ina wanachama wangapi leo?
 
Wanawajenga kuipenda CCM tangu utotoni. Hata wakiwa wakubwa huwaambii kitu juu ya CCM. Magwanda endeleeni kushangaa tu
LRA wa Uganda waliwatumia sana watoto ktk vita vya msituni. Kwasababu bunduki kwao ni kama toy. Tusikubali mambo ya aina hii.
 
Tulia angeenda Kugombea kwao huko Rungwe angepata jshindi mkubwa sana wa kishindo.

Nani amemdanganya huyu dada?...
Alianzia kupima upepo huko alipoona pagumu ndio akaja Mbeya. Hapa Mbeya tumaini lake kuu ni uchakachuaji wa Chalamila & co.
 
Tulia angeenda Kugombea kwao huko Rungwe angepata jshindi mkubwa sana wa kishindo.

Nani amemdanganya huyu dada?

Kwa nini CCM hawapendi Amani?

Sugu ni Rais wa Mbeya.
Alianzia kupima upepo huko alipoona pagumu ndio akaja Mbeya. Hapa Mby tumaini lake kuu ni uchakachuaji wa Chalamila & co.
 
Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa...
Mara zote shangwe za watu kama hawa huwa zinaashiria kitu kikubwa na kizito muno kutoka kwa Mungu. Hii ni dalili mojawapo njema sana kwa Mh. Tulia.

Mimi hawa watu nawaheshimu sana, baada ya Mungu, wanafuata wao. Wana prediction ambazo ni PRECISE, next to God ambaye yeye hana prediction kwa sababu yuko PERFECT. Kilicho perfect, hakiwezi kufany prediction, ni kwa sababu kiko perfect!
 
kula kuleni kwa ccm lakini kura pigeni kwa komredi Lissu. Music sikilizeni kwa ccm lakini furaha ya music 'pelekeni Chadema'
Unafiki elekezeni ccm lakini ukweli pelekeni CDM tarehe 28.10.2020.

Chadema kwa haki, uhuru, usawa na ustawi kwa Watanzania wote.
 
Huyo n Naibu speaker tuu,hata mjikojoleee bungeni anarudi Sasa sijui mnahangaika nini!kwani awamu iliyopita mlimchagua?
Sasa huku kilichomleta ni nini? Si angesubiri ateuliwe? Alifikri huku ni rahisi kihivyo? Wacha li-Sugu limdhalilishe!
 
Back
Top Bottom