Mgombea Umeya Arusha alalamika wapiga kura kutekwa

Huu wimbo 2a kutrka wqjumbe usha expire
 
CCM wamezoea kuteka na kutesa sasa wameanza kutekana wenyewe
 
Kwamba waache uchaguzi uwe huru?
Umechanganyikiwa wewe. Uharamia huu ndio umekufanya wewe uwe mbunge halafu leo unataka fair???
Kulaneni, tekaneni,uaneni mmalizane
 
Kwamba waache uchaguzi uwe huru?
Umechanganyikiwa wewe. Uharamia huu ndio umekufanya wewe uwe mbunge halafu leo unataka fair???
Kulaneni, tekaneni,uaneni mmalizane
Wamezoea kuteka wapinzani sasa hawapo wanatekana wenyewe. Shame on them
 
unaweza kucheka na ukavunjika mbavu.kwa hiyo sasa rafu imekua utamaduni wetu
 
Y
 
Makapi hawatakiwi ccm huyo msofe atulize kijambio chake
 
Mwenye taarifa za afya ya Meya wa Arusha,nimesikia ni tete!
Mwenye nazo atushirikishe.
jembejembe
 
Ushetani uleule ulifanywa kwa wapinzani sasa unaendelea ktk nyumba yao! ndio kawaida ya dhambi ya laana huwa haiishi!
 
...Msofe amelalamikia wapiga kura kutekwa na kuwekwa kwenye ‘bar’ ambao pia walikatiwa mawasiliano naye. Amesema viongozi kuingilia uchaguzi unanyima haki za msingi za wananchi.
Duuh.. yaani huyo Msofe bado tu hajajua MKAKATI wa ushindi wa chama chake?!!!

Afu wamezidi kuongeza ubunifu. Badala ya kuteka mgombea, sasa wapiga kura wanatekwa!!!

Mi5 Tena!
 
Matokeo ya push up ,yanaonekana hayachagui upande wowote,ni kuisoma namba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…