Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ikiwa Lissu angesema,"Ole wenu mumchague fulani,cha moto mtakiona"Ikiwa mwenyewe amesema hawatishi sasa ni kama hadhari tu sasa unataka nini zaidi
!
NEC wangekuja fastaa kutoa maonyo yao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa Lissu angesema,"Ole wenu mumchague fulani,cha moto mtakiona"Ikiwa mwenyewe amesema hawatishi sasa ni kama hadhari tu sasa unataka nini zaidi
Swali lako zuri sana, Msajiri wa Vyama anapaswa kuifuta ccm kwa maneno ya kashfa na kuudhi aliyoyatoa mgombea wakeMsajili wa vyama he mbona kimya!
Kwa msajili/NEC/TBC, CCM huwa haikosei kabisa.Msajili wa vyama he mbona kimya!
Hata TBC walitakiwa kukatisha hotuba hiyo kama wafanyavyo kwa wapinzaniSwali lako zuri sana, Msajiri wa Vyama anapaswa kuifuta ccm kwa maneno ya kashfa na kuudhi aliyoyatoa mgombea wake
Wapinzani si wana umma na wanauhakika uchaguzi huu Jiwe harudi Ikulu shida nini mbona wanaogopa sasaMgombea wenu ameishiwa hoja amebaki kuwatishia wananchi eti wakiwachagua wapinzani watajuta. Kwani hao wapinzani siyo watanzania?
Aliyofanya ametumia pesa za mama yake au ni kodi zetu? Kama kodi na mikopo yeyote ataweza.Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..
Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!
#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
Umerogwa wewe. Unampenanda mtu m' baguzi, mwenye chuki na asiyeshaurika?Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..
Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!
#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
Unafiki tuHv anavosemaga maendleo hayana vyama huwa anamaanisha nn wakuu??
Asitutishe kwanza nani kamwambia tutachanganya sisi kuanzia rais hadi diwani ni chadema ,sasa tutajuta sisi au yeye akiwa kwake mtaaniNaona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714
Hakuna anaegopa. Tatizo tume ya uchaguzi ya ccm.Wapinzani si wana umma na wanauhakika uchaguzi huu Jiwe harudi Ikulu shida nini mbona wanaogopa sasa
Ila kilichofanya msusie uchaguzi uliopita ni nini wakati na sasa mazingira ni yaleyaleHakuna anaegopa. Tatizo tume ya uchaguzi ya ccm.