Uchaguzi 2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

Uchaguzi 2020 Mgombea urais anatoa vitisho kwa wananchi, NEC shughulikieni hilo

Akemewe. Ni kauli ya uchochezi. Maendeleo yanaletwa na HELA za walipa kodi wa vyama vyote na wasio na vyama. Hatoi hela zake mfikoni bali ni heza za Hazina ya nchi. Akemewe Tanzania sio shamba lake.
 
Mgombea wenu ameishiwa hoja amebaki kuwatishia wananchi eti wakiwachagua wapinzani watajuta. Kwani hao wapinzani siyo watanzania?
Wapinzani si wana umma na wanauhakika uchaguzi huu Jiwe harudi Ikulu shida nini mbona wanaogopa sasa
 
Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..

Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!

#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
Aliyofanya ametumia pesa za mama yake au ni kodi zetu? Kama kodi na mikopo yeyote ataweza.
 
Ukweli ndio huo.. hakuna wa upinzani atafanya hata 2% ambayo Magufuli amefanya hadi sekunde hii..

Na sijaona ni kitisho yeye kwani kushika panga n.k au maiki??? bali ukweli.kausema.. yeye ni Jembe.. kwamba yeye ndiye atawapa watakayo.. Munaweweseka kuita kitisho... eeeeh hao wenu maneno yao sio vitisho pia!!!!

#Magufulitanotena
Magufuli 2020 [emoji817]
Umerogwa wewe. Unampenanda mtu m' baguzi, mwenye chuki na asiyeshaurika?
 
Naona uchaguzi huenda usiwe huru na wa haki kutokana na vitisho vya baadhi ya wagombea. Je, iko wapi demokrasia ya kumchagua unayemtaka? Hii sasa kali "Chagueni CCM au chagueni MAJUTO" by JPM.
View attachment 1560709
View attachment 1560714
Asitutishe kwanza nani kamwambia tutachanganya sisi kuanzia rais hadi diwani ni chadema ,sasa tutajuta sisi au yeye akiwa kwake mtaani
 
Back
Top Bottom