Ni kweli kabisa wasukuma ni watu waungwana sana sio kama huyu jamaaHalafu mbona anajilazimisha kujipa usukuma wakati sio msukuma anatuharibia sana image ya wasukuma , hakuna msukuma mwenye roho kama yake .
Duuh! Mkuu unaturudisha nyuma miqka 100Acha ujinga nchi hii ni ya wasukuma,huwezi kuwatenganisha wasukuma na Tanzania kwani ndo wengi.
Sasa angesema wasukuma tu ndo waende kumsikiliza. Sasa huku mtwara haya matangazo ya tbc kwanini wanatuonesha?Anaongea na wasukuma wenzake wewe unachowashwa ni nn?
Hahahaaa labda kwa vile kagombea kupitia chama Cha wachaga ndo kajua Lissu atakuwa mchaga.Kumbe umekariri mkuu. Lisu ni mchaga??
Kuna chama Cha wachaga nchi hii? Kinajihusisha na nini?Hahahaaa labda kwa vile kagombea kupitia chama Cha wachaga ndo kajua Lissu atakuwa mchaga.
Mwisho wako wa kufikiri! Type ya kishenzi.Acha ujinga nchi hii ni ya wasukuma,huwezi kuwatenganisha wasukuma na Tanzania kwani ndo wengi.
Masala kulangwaAcha ujinga nchi hii ni ya wasukuma,huwezi kuwatenganisha wasukuma na Tanzania kwani ndo wengi.
Ndio tatizo la mataga, full kumezeshwa ujinga-ujinga.Subiria yule wenu aje kuhutubia kichaga.
KwikwikwiAcha ujinga nchi hii ni ya wasukuma,huwezi kuwatenganisha wasukuma na Tanzania kwani ndo wengi.
Ni wengi, so what?Acha ujinga nchi hii ni ya wasukuma,huwezi kuwatenganisha wasukuma na Tanzania kwani ndo wengi.
Magufuli ni mbaguzi hilo lipo waziHii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma.
Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania nzima, sasa kusema kwamba kama anamwaga sera, mtu wa kule Tanga anamuelewa vip?
Huu ni udhaifu mkubwa, halafu eti ndo anajifananisha na Baba Wa Taifa, shame. Nashangaa hata wanaomtetea, huu ni ukabila wa wazi wazi.
Ingekuwa ni mgombea ubunge sawa ila rais anahutubia kisukuma???
Hivi hawa ndo CCM walikuwa wanasema watu wa kaskazini ni wakabila? Au ni tabia ya Nyani kutokuona Kundule??
Ni aibu sana, hata kwa wana CCM wenyeweUkabila ktk kampeni haukubaliki... Ni nje ya democrasia na unachchea ubaguzi...
Kavurugwa huyoKumbe umekariri mkuu. Lisu ni mchaga??