Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Tabora, Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Geita ni mikoa mitano ambayo yote ni ya kabila mmoja la wasukuma.Wasukuma pekee ni Milioni ngapi Chief? Kama umeenda shule njoo na jibu halafu nikulipue
Ndio kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania kama ulikuwa hufahamu.
Rais kuongea kisukuma sio kosa kumbuka anaongea na kundi kubwa la watu na havunji sheria.