kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Anahangaika tu. Anashika hiki anashika kile.Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Keshokutwa atawaida polisi na wanajeshi.Maji yameshazidi unga
Kila tawi analoshika halishikiki!
maji kushingo!Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Hiyo lazima ndani ya week ya mwisho wa kampeni lazima Siro na Mabeyo wafanye press conference zinazo tishia raia hivyo upinzani wajipange namna ya kuneutralise.Keshokutwa atawaida polisi na wanajeshi.
Umezitoa wapi hizo taarifa kama huo siyo umbeya tu. Ikifika asubuhi ndipo utagundua kuwa ulikuwa unaota tu.Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Aliyeleta uzi hana uhakika na taarifa yake wewe unakuja kutoa mapovu bila hata kujiridhisha usahihi wa uzi.Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama ya Rufani hilo linawahusu.
Kuna Chombo cha HAKI kiliwaondoa WAKURUGENZI wa HALMASHAURI kwenye Usimamizi wa Uchaguzi ili KUONDOA "conflict of interest"
Sasa Mgombea anafanya mazungumzo ya Siri na Wasimamizi wa Uchaguzi.
Jamani!!!!
Wagombea WENGINE watapata HAKI YAO?
MSINGI WA AMANI UNALINDWA KWA UTARATIBU HUO?
TUME YA UCHAGUZI NA MAHAKAMA AMANI YA TANZANIA IPO MIKONONI MWENU.
Hakna sir ya watu wawili.Aliyeleta uzi hana uhakika na taarifa yake wewe unakuja kutoa mapovu bila hata kujiridhisha usahihi wa uzi.
Aliyeleta uzi hana uhakika na taarifa yake wewe unakuja kutoa mapovu bila hata kujiridhisha usahihi wa uzi.
Thibitisha taarifaZipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Thibitisha basi comrade ili tuache kujadili tetesi na porojo.
🤣🤣Keshokutwa atawaida polisi na wanajeshi.
Mwambie mgombea wenu kuwa watu hawadanganyiki na ahadi zake, mwambie bado tunaimani kubwa na Magufuli pamoja na cha cha mapinduzi na tar 28 tuthibitisha hilo.Umuambie mgombea zile ndege na flyovers hazipigi kura! Sasa ona anavyo taabika! Anawatumia viongozi wa dini, hola! Amebeba wasanii 100 kwenye kampeni zake, hola!!
Sasa anaona njia pekee ya kumuondolea aibu ni kupanga mkakati wa kuiba kura na makada wake alio wateua!! Watu wanataka maisha bora. Siyo vijembe na vioja.