Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Zipo taarifa,zipo wapi? Picha uliyopatiwa? Memo uliyopewa?Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?