Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?

Status
Not open for further replies.
Aliyeleta uzi hana uhakika na taarifa yake wewe unakuja kutoa mapovu bila hata kujiridhisha usahihi wa uzi.

Asiye na taarifa ni mleta mada au Tundu Lissu aliyeliachilia hewani hili?

Mimi naona mleta mada kaambatanisha caption ya Twitter ya Tundu Lissu na video clip akisema hili waziwazi kabisa, shida ni nini kwani?

Hili lipo na linawezekana kwa sbb hii ndiyo tabia na mbinu pekee ya CCM iliyobaki ili kushinda uchaguzi huu - WIZI WA KURA...

Kwenye BALLOT BOX, CCM hawawezi kushinda uchaguzi huu ije mvua ama liendelee kuwaka jua...!
 
Wakati ninacomment iyo caption ya Twitter ya Tundu Lissu haikuwepo. Naona mleta mada ameingeza.

Sawa turudi kwenye mada leta ushahidi kuwa ni hii ndiyo Tabia na mbinu pekee ya CCM iliyobaki kushinda uchaguzi huu. Ukishindwa basi tutachukulia comment yako na ya wengine wenye mawazo kama yako kuwa ni porojo na kuweweseka kwa chadema.
 
Jiwe aliewahi kunukuliwa akisema
"siwezi kukupa Kazi nzuri na Gari zuri halafu umtangaze mpinzani"
 
Ndio ni kweli alisema, na mmekubali kuingia kwenye uchaguzi mnalalamika nini sasa? Tulieni sindano iwaingie vizuri. Comrade mpaka uchaguzi uishe mtakua mmeweweseka vya kutosha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom