Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kukutana na wasimamizi wa uchaguzi kipindi cha Kampeni inakubalika kisheria?

Status
Not open for further replies.
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?

Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
Zipo taarifa,zipo wapi? Picha uliyopatiwa? Memo uliyopewa?
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama ya Rufani hilo linawahusu.

Kuna Chombo cha HAKI kiliwaondoa WAKURUGENZI wa HALMASHAURI kwenye Usimamizi wa Uchaguzi ili KUONDOA "conflict of interest"

Sasa Mgombea anafanya mazungumzo ya Siri na Wasimamizi wa Uchaguzi.

Jamani!!!!

Wagombea WENGINE watapata HAKI YAO?

MSINGI WA AMANI UNALINDWA KWA UTARATIBU HUO?

TUME YA UCHAGUZI NA MAHAKAMA AMANI YA TANZANIA IPO MIKONONI MWENU.
Kama hawa ma DED watakubali maelekezo ya mteuzi wao ambaye ni mgombea na baadaye uchaguzi ukaharibika na kupelekea fujo na upotevu wa uhai wa watu, damu itakuwa juu ya vichwa vya wale majaji wa mahakama ya rufaa waliobadilisha maamuzi ya mahakama kuu na kuwarudisha hawa ma DED kusimamia uchaguzi mkuu.
 
Rejea Uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi huyu Pombe alivyowaita wakanywa chai Ikulu halafu wakavuruga uchaguzi.

Sasa anataka kuharibu na uchaguzi mkuu... Atajuta kuvimba mashavu na madawa anayomeza daily.
 
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?

Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?

"Ma DED wote wapo kwenye Vituo Vyao vya Kazi hakuna aliyeitwa Dodoma...
Nimeona Uongo Ukisemwa Sana Huwa Unageuka kuwa Ukweli ' Lissu amewadanganya wana Musoma Katika Mkutano Wake wa Hadhara Tarehe 26/09/2020! " Jimson Mhagama DED wa Nyasa
 
Acheni kutapatapa, mmeshapigwa mnatafuta visingizio
 
Rejea Uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi huyu Pombe alivyowaita wakanywa chai Ikulu halafu wakavuruga uchaguzi.

Sasa anataka kuharibu na uchaguzi mkuu... Atajuta kuvimba mashavu na madawa anayomeza daily.
Safari hii tuondoke na vichwa vya ma DED wa kutosha! Shenzi kabisa!
 
Muulizw mgombea wa chadema akupe fact na picha.
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?

Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
 
Mwambie mgombea wenu kuwa watu hawadanganyiki na ahadi zake, mwambie bado tunaimani kubwa na Magufuli pamoja na cha cha mapinduzi na tar 28 tuthibitisha hilo.

Niamini mimi, ni misukule pekee itakayomchagua magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
 
Dereva wa gari ndo mmiliki wa gari na injini ikiwemo.nyinyi abiria tu, kazi yenu kupiga kelele kwenye safari,mkishtuka gari ishafika mwisho.
"Tutatumia dola kubaki madarakani" Hii lugha si ya mzaha huyu ni miongoni mwa maafisa waandamizi Lumumba. Ule ujinga serikali za mitaa unataka kujirudia Lissu waambie Watanzania tuendelee kukusanya hasira.
 
Niamini mimi, ni misukule pekee itakayomchagua magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Comrade, "misukule" ukimaanisha wananchi wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura na wenye kadi ya mpiga kura basi upo sawa kabisa maana misukule sisi kwa umoja wetu tutamchagua kwa wingi Rais Magufuli ili ashinde kwa kishindo.
JamiiForums-1558112830.jpg
 
Rejea Uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi huyu Pombe alivyowaita wakanywa chai Ikulu halafu wakavuruga uchaguzi.

Sasa anataka kuharibu na uchaguzi mkuu... Atajuta kuvimba mashavu na madawa anayomeza daily.
3llyEmma nimecheka hatari
 
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?

Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?

View attachment 1582153

Magufuli ni mvunjaji sheria mzoefu na anajua wanaomzunguka wanamuogopa
 
Hiyo lazima ndani ya week ya mwisho wa kampeni lazima Siro na Mabeyo wafanye press conference zinazo tishia raia hivyo upinzani wajipange namna ya kuneutralise.
Uzuri safari hii wananchi tunamsikiliza TUNDU LISSU
Huyo siro na mabeyo watasikilizwa na wahuni wa uvccm
 
Comrade, "misukule" ukimaanisha wananchi wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura na wenye kadi ya mpiga kura basi upo sawa kabisa maana misukule sisi kwa umoja wetu tutamchagua kwa wingi Rais Magufuli ili ashinde kwa kishindo. View attachment 1582152

Utafiti ukiandaliwa na wachumia tumbo, huwa mnaukubali kwa haraka. Ila unapoandaliwa na taasisi zisizoegemea upande wowote, mfano ule utafiti wa Twaweza, ghafla mkatengeneza sheria kandamizi na pia kumnyang'anya hati ya kusafiria Mkurugenzi wake.

By the way, ile hati ya yule Mkurugezi wa Twaweza mlishamrudishia mwenyewe? Eti ni mkimbizi! Hakuna Mtanzania mwenye utimamu wa akili anayeweza kumpigia kura magufuli aliyekataliwa duniani na mbinguni.

Hana tofauti na Mfalme Sauli. Watanzania wanamtaka Mfalme mpya Daudi (Tundu Lissu), hivyo Sauli (magufuli) akubali tu matokeo ili aikwepe adhabu ya Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom