Huyu Lissu ni mtu hatari Sana kwa nchi yetu...ni kweli Sasa naamini ametumwa...Halafu Sasa anataja The Hague huku akihamasisha vurugu asijue kuwa yeye naye atakuwa mtuhumiwa nambari wani
"Ma DED wote wapo kwenye Vituo Vyao vya Kazi hakuna aliyeitwa Dodoma...
Nimeona Uongo Ukisemwa Sana Huwa Unageuka kuwa Ukweli ' Lissu amewadanganya wana Musoma Katika Mkutano Wake wa Hadhara Tarehe 26/09/2020! " Jimson Mhagama DED wa Nyasa
Nape na Polepole wanawadanganya labda mshinde kwa Roshindo sio kishindoComrade, "misukule" ukimaanisha wananchi wenye sifa za kupiga kura, waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura na wenye kadi ya mpiga kura basi upo sawa kabisa maana misukule sisi kwa umoja wetu tutamchagua kwa wingi Rais Magufuli ili ashinde kwa kishindo. View attachment 1582152
Mfamaji ni haki yake kutapatapaZipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
View attachment 1582153
Hata mimi naona lema na Sugu wanawadanganya. Tutawapa kichapo kikali sana October 28.Nape na Polepole wanawadanganya labda mshinde kwa Roshindo sio kishindo
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
View attachment 1582153
Asubuhi ya Ijumaa ya wiki hii makundi yote ya majeshi (JW, Polisi na Magereza) yalifunga viunga vya mji wa Arusha waki-match barabarani. Wananchi wa mji huu tulipata taharuki mno! Tulidhani nchi ipo chini ya amri ya jeshi.Keshokutwa atawaida polisi na wanajeshi.
Mdanganyeni tu huyo mwenye dozi ya maisha...Hata mimi naona lema na Sugu wanawadanganya. Tutawapa kichapo kikali sana October 28.
HeheheAsubuhi ya Ijumaa ya wiki hii makundi yote ya majeshi (JW, Polisi na Magereza) yalifunga viunga vya mji wa Arusha waki-match barabarani. Wananchi wa mji huu tulipata taharuki mno! Tulidhani nchi ipo chini ya amri ya jeshi.
Ofcourse majimboni Magufuli hatakuwepo maana yeye ndiye anawalazikisha lakini watakuwa wanapima upepo kwanza. Tutawahenyesha lazima watangaze tu.Naona silaha iliyobakia ni kutumia hao wakurugenzi tu ili kuokoa jahazi. Jamboambalo kwangu mimi naona halitafanikiwa kwani huko huko wako ambao watatoa siri ya kinachoendelea na wengine wamechoshwa na maagizo hivyo watayafumbia macho maagizo hayo.
Comrade ushindi tayari tunao ila tunataka wa kishindo.Mdanganyeni tu huyo mwenye dozi ya maisha...
Mbona nasikia jiwe yupo Hoi anamatatizo ya moyo?Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
View attachment 1582153
Kwamba kuneutralise. Nhiiiiiiiiii😃 nimecheka Kama Magu atakavyocheka akisikia hii kitu unayoshauri hapa.Hiyo lazima ndani ya week ya mwisho wa kampeni lazima Siro na Mabeyo wafanye press conference zinazo tishia raia hivyo upinzani wajipange namna ya kuneutralise.
Umesikia kutoka kwa Yule jamaa aliewahi kuwaaminisha kwamba jiwe kadedi😂?Mbona nasikia jiwe yupo Hoi anamatatizo ya moyo?
Mbona Leo siku ya 5 haonekaniUmesikia kutoka kwa Yule jamaa aliewahi kuwaaminisha kwamba jiwe kadedi😂?
kazi kufikiria machafuko tu. we na familia yako mtakuwa mnaishi angani hamta athirika. Ina maana hamjui Raisi bado yupo madarakani na anaweza endelea na shughuli za kiserikali.Kama hawa ma DED watakubali maelekezo ya mteuzi wao ambaye ni mgombea na baadaye uchaguzi ukaharibika na kupelekea fujo na upotevu wa uhai wa watu, damu itakuwa juu ya vichwa vya wale majaji wa mahakama ya rufaa waliobadilisha maamuzi ya mahakama kuu na kuwarudisha hawa ma DED kusimamia uchaguzi mkuu.
Zipo taarifa za Mwenyekiti wa chama tawala kukutana na wakurugenzi Dodoma wakati kampeni zinaendelea huku Hawa wakiwa ndio wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo. Tume ya uchaguzi inazungumziaje hatua hii?
Je Ni kweli mkutano huu upo au Ni propaganda za majukwaani tu?
View attachment 1582153
Maji yameshazidi unga
Kila tawi analoshika halishikiki!
Anahangaika tu. Anashika hiki anashika kile.
Maji yamezidi unga.😂😂😂
Keshokutwa atawaida polisi na wanajeshi.
maji kushingo!
Kiujumla in uharamu na haikubaliki.Jpm katuangusha sana watanzania kwa kweli....haki huinua taifa
Umezitoa wapi hizo taarifa kama huo siyo umbeya tu. Ikifika asubuhi ndipo utagundua kuwa ulikuwa unaota tu.
Thibitisha basi comrade ili tuache kujadili tetesi na porojo.