Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Ila Membe anahangaika nini?
Washauri wake naoni viazi.
Huyu mzee anapapara tu, angebaki ccm nchi ingekuwa yake
Niko ndicho ninachokiona mbele baada ya kuimaliza kazi aliyotumwa. Dhamira yangu inaniambia kwamba kwa kukiama chama kama alivyohama Lowasa wapinzani wangeshtuka, ilibidi njia mbadala itakayowaaminisha upinzani na kuwa tayari kumpokea iwe tofauti na iliyozoeleka na ndiomana tuliona ule mpasuko ndani ya CCM mpaka kufukuzwa kwa Membe. Lakini yote hayo ni mkakati, tusubiri time will tellIla huyu Membe kabla ya 2025 lazima aandike barua ya kuomba msamaha CCM. Zitto hapa umewaangusha watanzania. Kwani ilikuwa lazima muweke mgombea urais bara ?Stupid kabisa kitendo hiki.
Hata Tundu Lissu tuna wasiwasi ana special mission na mabeberu, kwahiyo hatuwezi kumchagua. Twende Magufuli ana special mission na watanzania!!!!!!!!Hii ndio hofu yangu, kama kweli angekuwa mpinzani angemuunga mkono Tundu Lissu, the guy he is in opposition wing for a special mission like Lowasa.
Tundu Lissu na Chadema wakae vizuri, waelewe kuwa kura za ACT zishagawanywa
Kwani nyie mna ulazima gani kuweka mgombea?Ila huyu Membe kabla ya 2025 lazima aandike barua ya kuomba msamaha CCM. Zitto hapa umewaangusha watanzania. Kwani ilikuwa lazima muweke mgombea urais bara ?Stupid kabisa kitendo hiki.
Vitu vingine mtu huhitaji kuwa na shahada ya Umahiri kujua.Hii ndio hofu yangu, kama kweli angekuwa mpinzani angemuunga mkono Tundu Lissu, the guy he is in opposition wing for a special mission like Lowasa.
Tundu Lissu na Chadema wakae vizuri, waelewe kuwa kura za ACT zishagawanywa
Sina chama. Sasa sijui hapa unanirefer kwa chama gani ?
Bora mission za mabeberu zina tija kuliko special mission za CCMHata Tundu Lissu tuna wasiwasi ana special mission na mabeberu, kwahiyo hatuwezi kumchagua. Twende Magufuli ana special mission na watanzania!!!!!!!!
Ila Jo umezidisha kiranga..hebu punguza kidogoMgombea urais wa JMT mh Membe wa ACT wazalendo leo amechukua fomu za kugombea katika ofisi za tume ya uchaguzi jijini Dodoma.
Kila la kheri.
Source Eatv
Maendeleo hayana vyama!
Mbona hata Magufuli ndo anaomba misaada kwa hao mabeberu. Bila mabeberu kuwapa misaada mbona wote mtakufa kwa kwa malaria,kipindupindu,Ukimwi n.kHata Tundu Lissu tuna wasiwasi ana special mission na mabeberu, kwahiyo hatuwezi kumchagua. Twende Magufuli ana special mission na watanzania!!!!!!!!
Mimi mmojawapiMtu yeyote anayeamini kuwa Membe ni mpinzani basi huyo ana ukichaa ambao hata Mirembe hawawezi kuutibu
Endelea kuota Ndoto za mchana Yaani CCM tujenge Ikulu chamwino ije ikaliwe na kichaa kutoka ubeligiji, hilo Jambo halipo leo halipo kesho wala keshokutwa.Membe tunamsoma tu. Kama hamuungi mkono Lissu hata huo Uwaziri Mkuu ambao angeupata baada ya Lissu kuwa Raisi atausikia kwenye bomba.
Anatakiwa aamke kama anataka kweli kuleta mabadiriko Tanzania. Ila kama nae ametumwa kama walivyotumwa wengine basi tunamwambia tu nae ataingia kwenye historia ya aibu mwaka huu. Ataenda kunyang’anyana iyo asilimia 30 atakayopata Magufuli maana TUNDU ANTIPAS LISSU anaenda kubeba asilimia 70 ya kura zote hapo October 2020
Sasa amini nakwambia Ikulu la Chamwino baada ya October mwaka huu inakaliwa na Tundu Antipas Lissu.Endelea kuota Ndoto za mchana Yaani CCM tujenge Ikulu chamwino ije ikaliwe na kichaa kutoka ubeligiji, hilo Jambo halipo leo halipo kesho wala keshokutwa.
Siyo kweli Magulfu alipata zaidi ya 57% ya kura zote zilizopigwa ina maana wapinzani wote kura zao zilikuwa chini ya 50%.Hivi Membe kabisa yupo serious ?Hope mbeleni atamwachia Lissu. To be honest Ukijumlisha kura za zote upinzani mwaka 2015 ,upinzani walimshinda Magufuli tatizo ushindi wao waliugawana.
Hao wanawazito wa dunia hii nyuma yao. Unafikiri Zitto mpaka kuacha ubunge ni mjinga? Na amejipa cheo kiongozi mkuu, wakati wana mwenyekiti aliyeko kama pambo tu. Mzee kijana kapiga hesabu kaona zinakubali. Wataalam wa IT wako tayari. We wadharau tu, utawaona mvuto wao muda si mrefu.Kati ya vyama ambavyo havina mvuto hiki nacho kimo
Kwani ulikuwa unamshauri afanye nini?Ila Membe anahangaika nini?
Washauri wake naoni viazi.
2015 akina Lissu walikula dili na CCM kutuwekea wagombea wawili wa URAIS.Kivuruge