Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Ila Membe anahangaika nini?
Washauri wake naoni viazi.
Huyu mzee anapapara tu, angebaki ccm nchi ingekuwa yake
Kuna kitu kinaitwa ukimwaga mboga na sie tunamwaga ugali ndio dawa ya JPM ,kama unaleta ubabe kunifukuza ngoja na mie nikuwashie moto!! Ni kama kutoa taarifa kwa JPM kwamba kuna other way ya kutimiza lengo sio njia moja tu ,6 millions ways to die nikka choose one.