Kumbe. Basi walimwibia Lowassa kura zake. Imebidi nikaangalie kumbe Lowasa alipata asilimia 39😭Mahesabu yako hayako sawa Mh Magufuli alipata 58.46% of total votes. Wapinzania kwa ujumla wao walipata 41.54%
Sasa mbona mnambeleza amuunge mkono Lisu?Mtu yeyote anayeamini kuwa Membe ni mpinzani basi huyo ana ukichaa ambao hata Mirembe hawawezi kuutibu
Kapicha mkuuWewe angalia jinsi huyu aliye amua kujitangaza hadharani kuwa ni jasusi mbobezi tahadhari aliyo kuwa ameichukuwa siku wamekumbatiana na Lissu. Yaani utadhania Lissu anavirus alivyo pandikiziwa Ubeligiji na Membe kalazimishwa kugusana naye. Uso wa Membe ulikuwa unaonesha mashaka haswa. Trust nobody.
Bakari HaelewekiIla Membe anahangaika nini?
Washauri wake naoni viazi.
Mwenyekiti wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad na Katibu Mkuu, Ndugu Ado Shaibu wakimsindikiza Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ACT-Wazalendo kuchukua fomu muda huu Makao Makuu ya Tume ya Uchaguzi Dodoma.
#KaziNaBata #TheFutureIsPurpleView attachment 1529809View attachment 1529811View attachment 1529812View attachment 1529814
sheria NEC nadhani haziruhusu!... tukio kubwa kama hilo hamna shamra shamra?
Naamini Makubaliano kati ya CHADEMA na ACT yameshindwa.
Kuna Ishu ya kuachiana majimbo, nadhani hapo ndo pamekuwa pagumu
Kapicha mkuu
sheria NEC nadhani haziruhusu!
... mbona wa CCM hadi kuhutubia alihutubia?sheria NEC nadhani haziruhusu!
Nakumbuka kweli kama hakukua na hamu ya picha ya pamojaHaka kakikafaa kangu ni kale kakipindi cha mpito kutoka analogia kwenda digitali. Itakuwa ngumu, modi atusaidie.
CCM lazima wadate sababu hawajui wa deal na nani? Lissu ama Membe!! Huku kuna Zitto huku kuna Mbowe...Huku Kuna Maalim Self huku kuna kina Mdee; Lema; Msigwa, Sugu!!
Kweli uchaguzi huu unakwenda kuandika historia mpya kwa taifa letu.
Kweli safari hii aibu inakwenda kumwangukia mtu.
Alikuwa kwenye ofisi za Chama chake. Kule NEC alienda bila shamrashamra za TOT.Ni kweli, ila jana Dr. Magufuli alikuwa anafanya nini?
lowasa na slaaa ndio walikuwa wapinzan wa kweli na bila shaka uliwapa kuraMtu yeyote anayeamini kuwa Membe ni mpinzani basi huyo ana ukichaa ambao hata Mirembe hawawezi kuutibu
Kwangu naona ni sawa tu, waswahili wote ni ngumu kuungana maana maslahi binafsi ndio yako mbele. Ni bora kila mtu ashinde mechi zake, kuliko huko mbele ya safari kuishia kuchafuana kutokana na kurubuniwa na ccm. Mfano wa CUF na NCCR uko wazi.
Alikuwa kwenye ofisi za Chama chake. Kule NEC alienda bila shamrashamra za TOT.
Sasa wanazigawana kura ndo hicho CCM wanakitaka
Nakuunga mkono.
Huu uchaguzi ndiyo utakaoitangaza ACT nchi nzima na kupata inroads na kujisimika.
Bila vyama vyote kusacrifice, yaani kutaka kutumiana tu kama ngazi ili mmoja anufaike na mwingine awe mbeba viatu vya mwenzie bila shaka kungepelekea mmoja kuja kujuta huko mbeleni.
Mimi ninavyoona, Mwananchi ndiye mwamuzi, kama watampenda mgombea mmoja basi watampa huyohuyo bila kujali mwingine ni nani!
Haifai kumlaumu yeyote kuwa kapunguza kura za mwenzie, wakati kama kweli wananchi wamempenda huyo wanayedhani angeshinda basi wangempa tu bila kujali wengine wote waliopo