Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Kwa hiyo unampinga Raisi wako mstaafu kikwete na serikali yake na chama chenu kwa ujumla..??[emoji134][emoji3]
 
viewer sio utube mataga hata ukiweka tv station kwenye king,amuzi chako unakuwa viewer na kwenye sat husika namba inaongezeka
Sasa mwambie azidishe hizo viewer Mara watu watano maximum maana hapa nyumbani tu tulikuwa tunaangalia familia nzima ya watu watano hapo bado kwenye kumbi za video na kwenye mabaa
 
Yaani angelia namfunua upuuzi wake na kuwaonyesha watanzania alivyokuwa mweupe na mambo anayoyaongea ni ujinga mtupu siku nyingine akisikia ana interview na kilatha nakuhakikishia atokei.

Upuuzi mtupu
Mxiww
 
Mkuu Magufuli hata kwa dawa hawezi enda kuhojiwa ITV au kuielezea Ilani yake anaogopa Sana maswali
 
Tatizo lenu ni mkishasoma vinakala au data za largest producers of things google mnadhani mambo ni rahisi kweli kwenye biashara bila ya ufahamu wa nitty gritty aspects of what makes things the way they are.

Ni story ndefu kuanza kukufanulia why Tanzania is not Morocco the biggest gas exporter in Africa let alone comparing ourselves with Qatar yenye capital ya ku invest in modern LNG plants huko west ili tu wapate access ya market in additional to other complicated strategies wanazotumia.

Nitakuwekes vitu vya vichache vya kufikiria ili kukujengea lines of reasoning maana nikisema niandike kukufahamisha kila kitu ni report ya maneno 2000 and usually I get paid to do that not free.

1 Qatar wana miaka mingi ya kuchimba Gas na shirika lao ni 100% state owned wala hawana madeni.

2 Tanzania ndio kwanza inaanza kuchimba Gas gharama za offshore rigs, transportation (pipeline network), LNG plant; zote tunategemea muwekezaji.

3 Imagine mwekezaji katumia $33 billlion out of that $30 billion on LNG (upuuzi mnaoshadidia) na $3 billlion on offshore rig and pipeline network.

4 Kwenye hiyo hela ‘capital structure’ internal capital ni $10 billion and the remaining $23 billion was raised from market sources with interest of 7% for 30 years.

5 Operation cost za LNG plant let’s assume ni $2 billion annually including shipping.

6 Moja ya kipengele cha mkataba wa mafuta kinahusu ‘commercial’ ambapo bei ya Gas duniani ina detect mgawanyo wako wa profit share.

I) Now imagine umeingia mkataba ambao kuna $10 billion ya kulipa kwa miaka 30
ii) kuna $23 billion with 7% ya kulipa kwa miaka 30
iii) operation cost za $2 billion za kulipa
iv) zikishatoka hizo gharama ndio mgawane faida na kilichobaki let’s assume miaka 30 ya mwanzo mwekezaji anachukua 70% na wewe 30%.

Kwa mkataba huo kama gross profit ya mwaka ni $10 billion unaambulia kiduchu sana na bei ya soko ikishuka profit ikiwa chini yeye lazima apate kwanza sio wewe maana anakulipa kodi..........:


Sasa utaifananisha Tanzania na Qatar ambao wanamiliki Gas 100% hela yote wanayopata yao awana mmbia wa kumlipa wala bank.

Tatizo lenu ni kujiropokea mambo msiyo na ufahamu nayo na kuanza kutukana serikali ya Magufuli inayotafuta fair deal hamjui ata terms za mikataba yenyewe mnapayuka tu $30 billion imepotea unadhani ni hela ya zawadi.

Mtu kama Lissu ni kiazi anaetumiwa tu kutoa pressure kwa serikali wanajua ata kama ashindi uchaguzi anawasaidia serikali kukubali unfavourable terms za mikataba kutokana na social pressure anayosaidia kutoa.

Yeye mwenyewe Lissu hajui sabotage anayofanya halafu kuna mapoyoyo kama nyie mnaosifia upuuzi wake na ndicho mabeberu wanachotaka kupitia Lissu na Zitto kuwasaidia ku mobilise support ya watu ovyo kama wewe.

Pamoja na kutopendezewa yaliyomkuta Lissu kuna wasaa unaona kilichompta he asked for it.
 
Kiazi ni ww na ccm yako
 
Aliyofanya JPM yanayoonekana kwa macho
Hatuhitaji maneno mazuri bali maendeleo na JPM amethibitisha hilo
Oktoba 28 tutawapa fundisho la kuhistoria

Weledi wa kuongea una faida Kwenye kutongoza au usaili au uliwasolisha andiko au ukikusudia kuongea uongo
Maendeleo yanahitaji mtu mwenye nia na Mzalendo
 

Magufuli ameeleza namna atakavyonunua ndege?
 
Bro nitag kwa makonda nione alikuwa anasema nini , sikuuona uzi huo?
 
Kiazi ni ww na ccm yako
Watanzania bado kuwa watu uhuru amna maarifa ya kuchagua bado busara ni CCM kuendelea tu.

Yaani kabisa mtu na akili zake timamu anadhani Lissu anafaa kwa urahisi hii ni hatari as far as National security matters are concerned.
 
Kwa taarifa yako huyo hahitaji kuomba kura sisi ndio tunamuomba tumpe kura, tumechoka na udikteta. Kesho hatujui atajeruhiwa nani au atatekwa nani.

The situation we are in is a reminiscent of Idi Amin's Uganda in which people tend to disappear and no one is certain of seeing the next day.
 
N
Ujinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
naona mnafarijiana kwa matusi baada ya kutemeshwa nyongo na TAL,mmeshikwa korodan n kelele tu zinaskika
 
U
Watanzania bado kuwa watu uhuru amna maarifa ya kuchagua bado busara ni CCM kuendelea tu.

Yaani kabisa mtu na akili zake timamu anadhani Lissu anafaa kwa urahisi hii ni hatari as far as National security matters are concerned.
Urahis ndo nn we kilaza?hata kuandika hujui n kusifia tu ujinga jukwan hapa
 
Mbona kuna jamaa kakariri samaki wa maziwa yote na bado unakubali takwimu zake?
 
Nnaona mnafarijiana kwa matusi baada ya kutemeshwa nyongo na TAL,mmeshikwa korodan n kelele tu zinaskika
Kwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…