Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Kwa watu kama nyie nipe cost ya kutengeneza offshore rig ili utoe Gas, nipe cost ya kutengeneza LNG plant upate Gas, nipe cost ya kutengeneza pipe ya kutoa Gas baharini hadi kwenye LNG plant na kutoka hapo kufika kiwandani.

Halafu linanginisha hizo cost na cost za hydro power uone hiyo investment ya kutoa Gas tu baharini utajenga hydro power ngapi.

Ni mtu anaejiropokea tu hajui finance, hajui uchumi na kuna kikundi tu cha wapuuzi wenzie wanamsikiliza si ajabu hajui Gas inayotoka baharini imechanganyika na maji inabidi uitoe kwanza kwenye maji ndio usambaze na kama unasafirisha uirudishe tena in liquid form.

Ni mtu anaeropoka ujinga tu
Kwa hiyo unampinga Raisi wako mstaafu kikwete na serikali yake na chama chenu kwa ujumla..??[emoji134][emoji3]
 
viewer sio utube mataga hata ukiweka tv station kwenye king,amuzi chako unakuwa viewer na kwenye sat husika namba inaongezeka
Sasa mwambie azidishe hizo viewer Mara watu watano maximum maana hapa nyumbani tu tulikuwa tunaangalia familia nzima ya watu watano hapo bado kwenye kumbi za video na kwenye mabaa
 
Yaani angelia namfunua upuuzi wake na kuwaonyesha watanzania alivyokuwa mweupe na mambo anayoyaongea ni ujinga mtupu siku nyingine akisikia ana interview na kilatha nakuhakikishia atokei.

Upuuzi mtupu
Mxiww
 
Nimefatilia mahojiano ya Lissu na Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV leo usiku,bila shaka ni moja ya kipindi kilichotazamwa na watu wengi nchini na nje ya nchi.

Taarifa zilianza kuzagaa jana katika mitandao ya kijamii hususani Facebook juu ya uwepo wake Itv leo.Nimefatilia sana na kaongea mambo mengi sana juu ya uchaguzi mkuu na kueleza mikakati yao kuelekea huko.

Nimeona Lissu anayo nguvu kubwa ya kuvishawishi vyombo vya habari kuanza kurusha habari zake.Ameongea mambo ya msingi kwa mstakabari wa taifa letu.

Ningeramani hata mh Magufuli ajitokeze ili aibadi ilani yake japo kwa ufupi ili baadae wananchi waachie nafasi ya kuona nani anafaa kwa maendeleo yao ya leo na kesho
Mkuu Magufuli hata kwa dawa hawezi enda kuhojiwa ITV au kuielezea Ilani yake anaogopa Sana maswali
 
Unajifanya hujui wakati hujui kitu.

Gas haichimbwi na Serikali. Unataka kujua bei ya floatinh rigs, drill roads na pipes za kusafirishia, kwani unachimba wewe?

Qatar ndiyo nchi inayoongoza kwa utajiri kwa kipimo cha per capita. Uchumi wake ni uchumi wa gas. Kama uchimbaji gas na mafuta ni aghali kiasi cha kuufanya uwe wa hasara, kwa nini mataifa yote yanayovuma rasilimali hiyo, uchumi wao kwa kiasi kikubwa hutugemea huo uchimbaji?

Gas haitumiki tu kuzalishia umeme. Gas ingechimbwa kwa lengo la export. Hilo ndilo lengo kuu. Lakini ingetumika pia kuzalishia umeme na kama malighafi ya kwenye viwanda vya mbolea. Rais Magufuli alivurunda sana kwenye sekta ya gas. Wawekezaji wakaamua kuondoka. Leo Serikali inahangaika kuwarudisha, nao wamegoma japo bado wanashikilia vitalu. The earliest wanaweza kurudi ni baada ya miaka mitano.

Dunia inajitahidi kuondoka kwenye umeme wa kuzalisha kwa kutumia maji kutokana na mabadiliko ya kimazingira. Umeme wa kuzalishwa kwa maji hauna sustainability. Nchi nyingi miaka ya karibuni zimekubwa na upungufu wa umeme kutokana na upungufu wa maji kwenye mabwawa. Haikuwa sahihi kwa sasa kuhangaikia umeme wa maji ambao sustainability yake ni ndogo, wakati tuna vyanzo vingine vya umeme ambavyo vinatufanya tupate faida nyingi kwa pamoja.

Fikiria pia ajira na intersectorial business.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu ni mkishasoma vinakala au data za largest producers of things google mnadhani mambo ni rahisi kweli kwenye biashara bila ya ufahamu wa nitty gritty aspects of what makes things the way they are.

Ni story ndefu kuanza kukufanulia why Tanzania is not Morocco the biggest gas exporter in Africa let alone comparing ourselves with Qatar yenye capital ya ku invest in modern LNG plants huko west ili tu wapate access ya market in additional to other complicated strategies wanazotumia.

Nitakuwekes vitu vya vichache vya kufikiria ili kukujengea lines of reasoning maana nikisema niandike kukufahamisha kila kitu ni report ya maneno 2000 and usually I get paid to do that not free.

1 Qatar wana miaka mingi ya kuchimba Gas na shirika lao ni 100% state owned wala hawana madeni.

2 Tanzania ndio kwanza inaanza kuchimba Gas gharama za offshore rigs, transportation (pipeline network), LNG plant; zote tunategemea muwekezaji.

3 Imagine mwekezaji katumia $33 billlion out of that $30 billion on LNG (upuuzi mnaoshadidia) na $3 billlion on offshore rig and pipeline network.

4 Kwenye hiyo hela ‘capital structure’ internal capital ni $10 billion and the remaining $23 billion was raised from market sources with interest of 7% for 30 years.

5 Operation cost za LNG plant let’s assume ni $2 billion annually including shipping.

6 Moja ya kipengele cha mkataba wa mafuta kinahusu ‘commercial’ ambapo bei ya Gas duniani ina detect mgawanyo wako wa profit share.

I) Now imagine umeingia mkataba ambao kuna $10 billion ya kulipa kwa miaka 30
ii) kuna $23 billion with 7% ya kulipa kwa miaka 30
iii) operation cost za $2 billion za kulipa
iv) zikishatoka hizo gharama ndio mgawane faida na kilichobaki let’s assume miaka 30 ya mwanzo mwekezaji anachukua 70% na wewe 30%.

Kwa mkataba huo kama gross profit ya mwaka ni $10 billion unaambulia kiduchu sana na bei ya soko ikishuka profit ikiwa chini yeye lazima apate kwanza sio wewe maana anakulipa kodi..........:


Sasa utaifananisha Tanzania na Qatar ambao wanamiliki Gas 100% hela yote wanayopata yao awana mmbia wa kumlipa wala bank.

Tatizo lenu ni kujiropokea mambo msiyo na ufahamu nayo na kuanza kutukana serikali ya Magufuli inayotafuta fair deal hamjui ata terms za mikataba yenyewe mnapayuka tu $30 billion imepotea unadhani ni hela ya zawadi.

Mtu kama Lissu ni kiazi anaetumiwa tu kutoa pressure kwa serikali wanajua ata kama ashindi uchaguzi anawasaidia serikali kukubali unfavourable terms za mikataba kutokana na social pressure anayosaidia kutoa.

Yeye mwenyewe Lissu hajui sabotage anayofanya halafu kuna mapoyoyo kama nyie mnaosifia upuuzi wake na ndicho mabeberu wanachotaka kupitia Lissu na Zitto kuwasaidia ku mobilise support ya watu ovyo kama wewe.

Pamoja na kutopendezewa yaliyomkuta Lissu kuna wasaa unaona kilichompta he asked for it.
 
Tatizo lenu ni mkishasoma vinakala au data za largest producers of things google mnadhani mambo ni rahisi kweli kwenye biashara bila ya ufahamu wa nitty gritty of what makes the way they are.

Ni story ndefu kuanza kukufanulia why Tanzania is not Tunisia the biggest gas exporter in Africa let alone comparing ourselves with Qatar yenye capital ya ku invest kwenye modern LNG plants huko west ili wauze Gas yao and other complicated strategies zao.

Nitakuweke vitu vya kufikiria wewe kukujengea lines of reasoning maana nikisema niandike kukufahamusha ni report ya maneno 2000 hadi uelewe.

1 Qatar wana miaka mingi ya kuchimba Gas na shirika lao ni 100% state owned na hawana madeni.

2 Tanzania ndio kwanza inaanza kuchimba Gas gharama za offshore rigs, transportation (pipeline network), LNG plant; zote tunategemea muwekezaji.

3 Imagine mwekezaji katumia $33 billlion out of that $30 billion on LNG (upuuzi mnaoshadidia) na $3 billlion on offshore rig and pipeline network.

4 Kwenye hiyo hela ‘capital structure’ internal capital ni $10 billion na the remaining $23 billion was raised from market sources with interest of 7% for 30 years.

5 Operation cost za LNG let’s assume ni $2 billion annually including shipping.

6 Moja ya kipengele cha mkataba wa mafuta kinahusu ‘commercial’ ambapo bei ya Gas duniani ina detect upataji wako.

I) Now imagine umeingia mkataba ambao kuna $10 billion ya kulipa kwa miaka 30
Kuna
ii) kuna $23 billion with 7% ya kulipa kwa miaka 30
iii) operation cost za $2 billion za kulipa
iv) zikishatoka hizo gharama ndio mgawane faida kwenye kilichobaki let’s assume miaka 30 ya mwanzo mwekezaji anachukua 70% na wewe 30%. Na hapo bei ya soko ikishuka profit ikiwa chini yeye lazima apate kwanza sio wewe maana anakulipa kodi..........:


Sasa utaifananisha Tanzania na Qatar ambao wanamiliki Gas 100% hela yote wanayopata yao awana mmbia wa kumlipa wala bank. Tatizo lenu ni kujiropokea mambo msiyo na ufahamu nayo na kuanza kutukana serikali ya Magufuli inayotafuta fair deal.

Mtu kama Lissu ni kiazi anaetumiwa tu kutoa pressure kwa serikali wanajua ata kama ashindi uchaguzi anawasaidia serikali kukubali unfavourable terms.

Yeye mwenyewe Lissu hajui sabotage anayofanya halafu kuna mapoyoyo kama nyie mnaosifia upuuzi wake, kuna wasaa unaona kilichompta he asked for it.
Kiazi ni ww na ccm yako
 
Aliyofanya JPM yanayoonekana kwa macho
Hatuhitaji maneno mazuri bali maendeleo na JPM amethibitisha hilo
Oktoba 28 tutawapa fundisho la kuhistoria

Weledi wa kuongea una faida Kwenye kutongoza au usaili au uliwasolisha andiko au ukikusudia kuongea uongo
Maendeleo yanahitaji mtu mwenye nia na Mzalendo
 
Nimesikiliza mahojiano ya Tundu Antipas Lissu na ITV kuhusu ahadi zake hewa (haelezi jinsi gani atawezedha km kila MTz awe na bima ya afya na mambo kadhaa). Anaishi kwenye ndoto lakini na matumaini kuwa hadaa zake zitafanikisha malengo yake.

Kwenye kampeni zake anatumia muda na nguvu nyingi kuhamasisha vurugu na si kushawishi wapiga kura kwa Sera. Lugha anayotumia kukejeli viongozi wenzake ni dhahiri akishika madaraka ya juu nchini hatakuwa "dikteta uchwara" bali dikteta kamili.

Msiyoyajua kuhusu Lissu, ambayo ni kitendawili cha shambulio dhidi yake.


Magufuli ameeleza namna atakavyonunua ndege?
 
Timu Polepole shabiki lialia wa kula kunywa kwa msaada wa ccm vichwa vinawauma watamkandia vipi Tundu lisu kwani hata Makonda kaingia humu tumempa makavu karudi nyuma kwenda kulea mapacha yako bado wengine wajinga wajinga tunaendelea kuwaangalia kwa umakini mkubwa mno.
Bro nitag kwa makonda nione alikuwa anasema nini , sikuuona uzi huo?
 
Kiazi ni ww na ccm yako
Watanzania bado kuwa watu uhuru amna maarifa ya kuchagua bado busara ni CCM kuendelea tu.

Yaani kabisa mtu na akili zake timamu anadhani Lissu anafaa kwa urahisi hii ni hatari as far as National security matters are concerned.
 
Lisu kachemka maeneo makubwa mawili la kwanza ilitakiwa aende na summary iliyoandikwa ya sera

Alipoulizwa kuhusu sera alitakiwa atiririke hasa azitaje zote ndani ya dakika chache. Hakuzitaja. Kakosa kutumia hiyo golden opportunity. Kaenda mahojiano hana hata ki notebook sera zote utakariri kichwani? Ndio maana kachemka hakuweza kuzitaja zote kaenda na over confidence hewa!

Pili kasahau kuomba kura kuwa watanzania naombeni kura zenu! Hajui hata kazi ya mgombea uraisi kuwa kazi yake kubwa ni kuomba kura.Yeye haelewu kilichompeleka ITV kuwa ni kumpa nafasi akaomba kura watanzania. Lisu hakujiandaa kugombea uraisi.utatokaje kwenye TV bila kuomba kura? Chadema mgombea wenu kichwa cheupee Alienda tu kutalii ITV
Kwa taarifa yako huyo hahitaji kuomba kura sisi ndio tunamuomba tumpe kura, tumechoka na udikteta. Kesho hatujui atajeruhiwa nani au atatekwa nani.

The situation we are in is a reminiscent of Idi Amin's Uganda in which people tend to disappear and no one is certain of seeing the next day.
 
N
Ujinga wao mpaka unakera how shallow can they be mtu anaongea upuuzi hana chochote anachokijua anaropoka kama vile anaongea na watoto wadogo na watu wazima wanamshangilia.
naona mnafarijiana kwa matusi baada ya kutemeshwa nyongo na TAL,mmeshikwa korodan n kelele tu zinaskika
 
U
Watanzania bado kuwa watu uhuru amna maarifa ya kuchagua bado busara ni CCM kuendelea tu.

Yaani kabisa mtu na akili zake timamu anadhani Lissu anafaa kwa urahisi hii ni hatari as far as National security matters are concerned.
Urahis ndo nn we kilaza?hata kuandika hujui n kusifia tu ujinga jukwan hapa
 
Lisu kachemka maeneo makubwa mawili la kwanza ilitakiwa aende na summary iliyoandikwa ya sera

Alipoulizwa kuhusu sera alitakiwa atiririke hasa azitaje zote ndani ya dakika chache. Hakuzitaja. Kakosa kutumia hiyo golden opportunity. Kaenda mahojiano hana hata ki notebook sera zote utakariri kichwani? Ndio maana kachemka hakuweza kuzitaja zote kaenda na over confidence hewa!

Pili kasahau kuomba kura kuwa watanzania naombeni kura zenu! Hajui hata kazi ya mgombea uraisi kuwa kazi yake kubwa ni kuomba kura.Yeye haelewu kilichompeleka ITV kuwa ni kumpa nafasi akaomba kura watanzania. Lisu hakujiandaa kugombea uraisi.utatokaje kwenye TV bila kuomba kura? Chadema mgombea wenu kichwa cheupee Alienda tu kutalii ITV
Mbona kuna jamaa kakariri samaki wa maziwa yote na bado unakubali takwimu zake?
 
Nnaona mnafarijiana kwa matusi baada ya kutemeshwa nyongo na TAL,mmeshikwa korodan n kelele tu zinaskika
Kwa kitu gani cha maana alichoongea wewe umenyimwa uhuru wakuabudu Lissu anao pigania.
 
Back
Top Bottom