Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Lisu anapotosha hakuna uhusiano tuliokuwa nao na jumuia ya kimataifa ulioharibika.

Kama ni kweli kuna damage, Marekani asingeleta Balozi wake hapa baada ya kaimu kuondoka.

Hakuna Nchi iliyofunga ubalozi wake hapa Nchini.
 
Hii hoja ya ubeberu haitasaidia chochote CCM...kwanza anayewapokea mabeberu wote wanaokuja kujitambukisha nchini ni nani? Hiyo ndiyo aulizwe anawapokea kwa misingi ipi...
 
Lisu ni kibaraka !
Oktoba tutamrudisha kwa kibaraka wake Amsterdam
 
Hii hoja ya ubeberu haitasaidia chochote CCM...kwanza anayewapokea mabeberu wote wanaokuja kujitambukisha nchini ni nani? Hiyo ndiyo aulizwe anawapokea kwa misingi ipi...
Hii hoja imembomoa sana Lisu
 
Dhana nzima ya ubeberu huwa inakamilika pale taifa lenye nguvu linapotaka kulitawala taifa dogo kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni.

Lissu anatumiwa na mabeberu ndio maana alikiwa hataki Accacia waondolewe hapa Tanzania ili waendelee kutunyonya. Na akawa anasema tukiwaondoa watatushitaki MIGA.
 
Lissu ametumwa na Mabeberu ili akishinda aiuze Nchi
Je unasemaje kuhusu waliouza nchi kabla "TL hajatumwa kuja kuiuza?"
Ubinafsishaji usio na tija wala faida na nchi, utaifishaji mali za watu kwa hila ulifanywa na serikali ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…