Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Mr.Kipanga hilo lipo wazi kwa kila mwenye akili zenye.kufanya kazi vzr
Kwanini
Nani anamkwepa mwenzake ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini
Nani anamkwepa mwenzake ,
Ila sholo mwamba sio mzalendo kabisaaa, jana kampigisha magoti mzee meko na macho kafunga akijua wanaomba allah kumbe swaga za “singeli” kweli ushamba na ulimbukeni ni mzigo!Waimba singeli wote wanawaganga wao hila wa Sholo Mwamba katisha.
Magu sio mchezoMr.Kipanga hilo lipo wazi kwa kila mwenye akili zenye.kufanya kazi vzr
Pamoja na kwamba sikubaliani na Gwajima, masheikh wa uamsho walivuka mipaka.Kwanini wale Mashehe wa Uamsho wako ndani hadi hivi sasa?? Kama walitenda kweli makosa yale kwanini hawajahukumiwa hadi leo??
Kwanini Askofu Kakobe aliamriwa kwenda kuonyesha makaburi ya Wazazi wake??
Magu sio mchezo
Yani likija suala la masheikh wa uamsho basi watu huacha tena kudai haki na kuliangalia hilo suala kidini zaidi,hapo ndipo nao wanaungana kwenye kukandamiza haki.Kwanini wale Mashehe wa Uamsho wako ndani hadi hivi sasa?? Kama walitenda kweli makosa yale kwanini hawajahukumiwa hadi leo??
Kwanini Askofu Kakobe aliamriwa kwenda kuonyesha makaburi ya Wazazi wake??
Pamoja na kwamba sikubaliani na Gwajima, masheikh wa uamsho walivuka mipaka.
Kinachowapata masheikh wa uamsho liwe somo kwa wengine watakaojaribu kuhamasisha vurugu kwa madai ya kuitoa serikali.
1. Project ya kivuko cha Posta kivukoni to tegeta si ilikuwa chini yake? Una updates zozote? Mbona kwa miaka 5 hajafufuliwa?But not in charge of affairs
Tanzania imebahatika sana kwa Lissu kuzaliwa kwenye nchi hiyokwakweli, japo dk45 zlikuwa chache, Lissu anaongea kwa facts na mawe ya hatari, jamaa anajua aisee.
Anakupa historia ya sheria, kipi kilitokea lini na sababu ya kutokea,Siyo yule jamaa yeye anatukana tu wanawake , kusifia wake za watu
Taja makosa yao
Kumsikiliza Lissu ili iweje sasa. Bora Magufuli anaweza akatamka neema kwa wafanyakazi, wamachinga, boda boda na mama ntilie.
Unataka nikuletee video zingine, yakhe?Taja makosa yao
Huyo ni kwishney,pumzi zilishakata.Ngoja Bia yetu aje hapa. 😂
Empty set.I tell huyu mtu inabidi akapimwe akili what a load of nonsense anaongea, hivi kabisa kuna watu wanaamini upuuzi anao ongea.
Nawatumia Bashite na watoto wa dada.... Msione km kamsusa nawambieni kwa hakika makonda ni mtu mkubwa sn serikaliniLissu akichukua nchi akaunti za jiwe zitazuiliwa uchunguzi ufanyike.
Kuna ushahidi usiopingika wakati bajeti inaendelea wabunge wa upinzani, akiwemo huyo anayehoji ununuzi wa ndege, huwa wanasusia au wakiwemo bungeni hupinga hata fedha za maendeleo majimboni mwao.Magufuli ameeleza namna atakavyonunua ndege?