Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Waimba singeli wote wanawaganga wao hila wa Sholo Mwamba katisha.
Ila sholo mwamba sio mzalendo kabisaaa, jana kampigisha magoti mzee meko na macho kafunga akijua wanaomba allah kumbe swaga za “singeli” kweli ushamba na ulimbukeni ni mzigo!
 
Kwanini wale Mashehe wa Uamsho wako ndani hadi hivi sasa?? Kama walitenda kweli makosa yale kwanini hawajahukumiwa hadi leo??
Kwanini Askofu Kakobe aliamriwa kwenda kuonyesha makaburi ya Wazazi wake??
Pamoja na kwamba sikubaliani na Gwajima, masheikh wa uamsho walivuka mipaka.

Kinachowapata masheikh wa uamsho liwe somo kwa wengine watakaojaribu kuhamasisha vurugu kwa madai ya kuitoa serikali.
 
Kwanini wale Mashehe wa Uamsho wako ndani hadi hivi sasa?? Kama walitenda kweli makosa yale kwanini hawajahukumiwa hadi leo??
Kwanini Askofu Kakobe aliamriwa kwenda kuonyesha makaburi ya Wazazi wake??
Yani likija suala la masheikh wa uamsho basi watu huacha tena kudai haki na kuliangalia hilo suala kidini zaidi,hapo ndipo nao wanaungana kwenye kukandamiza haki.
 
Taja makosa yao
Pamoja na kwamba sikubaliani na Gwajima, masheikh wa uamsho walivuka mipaka.

Kinachowapata masheikh wa uamsho liwe somo kwa wengine watakaojaribu kuhamasisha vurugu kwa madai ya kuitoa serikali.
 
But not in charge of affairs
1. Project ya kivuko cha Posta kivukoni to tegeta si ilikuwa chini yake? Una updates zozote? Mbona kwa miaka 5 hajafufuliwa?


2. Morogoro Road(BRT project) bila shaka ilitekelezwa chini ya wizara yake. Je ilikuwaje kukatokea uzembe tunaoshuhudia jangwani kila mvua ikinyesha? Kitaalam na yye kama mtaalam hakujua namna ya kutatua hlo alipokuwa waziri? Kama raisi kalishughulikiaje? Katika watu aliowajibisha kwa kandarasi mbovu, hili limefikia wapi?
 
kwakweli, japo dk45 zlikuwa chache, Lissu anaongea kwa facts na mawe ya hatari, jamaa anajua aisee.
Anakupa historia ya sheria, kipi kilitokea lini na sababu ya kutokea,Siyo yule jamaa yeye anatukana tu wanawake , kusifia wake za watu
Tanzania imebahatika sana kwa Lissu kuzaliwa kwenye nchi hiyo
 
Taja makosa yao


Kuna hiyo ☝️kwanza walishaanza kutengeneza bendera za Jihad na kwenda kuvamia makanisa Zanzibar mpaka Lowassa ilibidi akalie Christmas yake Zanzibar kutoa moral support kwa wakristo.

Subiri usiwe na haraka nikuletee kichapo walichotembeza kwa raia wengine huko Zanzibar.
 
Dada yangu kipenzi Hujui ulikotoka,Hujui uliko.hujui uendako.kimsingi hujitambui.siyo kosa lako pengine na elimu ndogo inachangia mtu kutokujitambua.
Kumsikiliza Lissu ili iweje sasa. Bora Magufuli anaweza akatamka neema kwa wafanyakazi, wamachinga, boda boda na mama ntilie.
 


Uamsho hao ☝️mpaka wananchi wakaanza kuishangaa serikali ya Zanzibar inavyowachekea maana ilifikia hatua wanaenda kuchoma nyumba za watu wanaoita makafir kwa kujisikia tu.

Mtu mwenye akili timamu awezi tetea uamsho they belong behind bars kwa kesi ya uhaini; ajabu pamoja na ushahidi wote mpaka leo awajahukumiwa.
 
Lazima kuwe na wapigania haki na mapendeleo ya wengi hivyo tusiwalaumu, Mimi hata kwenye biblia kunaonyesha Kuna watu walisimama kwa ajili ya nchi zao Kama Daudi na wengine, kikubwa viongozi wenye hekima wawe wanaangalia mahitaji ya watu wengi sehemu husika bado wakiwa na nguvu siyo mpaka wazeeke hata vizazi vyao havitanufaika nao kwa kuacha system mbovu.
 
Lissu ndo kiongozi anayepaswa kuombewa sana na watz maana ndiye mlombozi halisi na mtetezi wa wanyonge
 
Lissu akichukua nchi akaunti za jiwe zitazuiliwa uchunguzi ufanyike.
Nawatumia Bashite na watoto wa dada.... Msione km kamsusa nawambieni kwa hakika makonda ni mtu mkubwa sn serikalini
 
Magufuli ameeleza namna atakavyonunua ndege?
Kuna ushahidi usiopingika wakati bajeti inaendelea wabunge wa upinzani, akiwemo huyo anayehoji ununuzi wa ndege, huwa wanasusia au wakiwemo bungeni hupinga hata fedha za maendeleo majimboni mwao.

Kama unataka ushahidi nenda ukadoma maamuzi ya bunge.
 
Back
Top Bottom