YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Lisu kachemka maeneo makubwa mawili la kwanza ilitakiwa aende na summary iliyoandikwa ya sera
Alipoulizwa kuhusu sera alitakiwa atiririke hasa azitaje zote ndani ya dakika chache. Hakuzitaja. Kakosa kutumia hiyo golden opportunity. Kaenda mahojiano hana hata ki notebook sera zote utakariri kichwani? Ndio maana kachemka hakuweza kuzitaja zote kaenda na over confidence hewa!
Pili kasahau kuomba kura kuwa watanzania naombeni kura zenu! Hajui hata kazi ya mgombea uraisi kuwa kazi yake kubwa ni kuomba kura.Yeye haelewu kilichompeleka ITV kuwa ni kumpa nafasi akaomba kura watanzania. Lisu hakujiandaa kugombea uraisi.utatokaje kwenye TV bila kuomba kura? Chadema mgombea wenu kichwa cheupee Alienda tu kutalii ITV