Polisi walishindwa Kukesha wakaondoka. Lissu akaendelea na safari yake.Hao ndio "wanadiplomasia", by the way Lissu si alisema atalala Kiluvya hata kwa wiki moja!? Ameondoka na kuwaacha solemba wenzake!?
Lissu alivyosimama mbonakama kunakijinguzo kwanyuma kaegamia!?
Za kukopi na kupasteBwana yule hatathubutu kuongea na balozi wakaelewana. Tatizo kiingereza! PhD zingine ni aibu.
Lissu anafaa sana. Man of peopleSafi sana....LATER ON TUNDU LISSU ANAKUA RAIS WA DUNIA. Hajawahi kutokea mtu km Tundu Lissu
Hiyo sio mada ya leoTENA WATOE TAMKO JUU YA MIKUTANO YA LISU KWENYE MISURURU YA WATU HATA LISU MWENYEWE HAVAI BARAKOA, HUKU KORONA IKIWA NIJANGA. NAMUOMBA BAROZI HUYO AMUONYE HUYO LISU KUFANYA MIKUTANO YENYE MIKUSANYIKO YA WATU KWA KIPINDI HIKI CHA KORONA.
Embu muulize aliyempiga risasi atakuwa ana majibu mazuri?Hivi Lissu kwanini anapenda kusimama upandeupande?
Ana vyuma baada ya kupigwa risasi. MUNGU alimuumba mzima Ila kuna MTU ambae hawezi kuumba hata sisimizi amemfanya asimame upandeupande.Hivi Lissu kwanini anapenda kusimama upandeupande?
Jaribu kuficha upumbavu wakoLissu alivyosimama mbonakama kunakijinguzo kwanyuma kaegamia!?
Hii inaitwa kupatwa kwa ccm,fikra zenu zimekuwa kama za watu ambao hawajakuwa matured.Lissu alivyosimama mbonakama kunakijinguzo kwanyuma kaegamia!?
Unaposema Tamko juu ya Mikutano! Misururu. Yule mwingine yeye anamisururu ya panya au! Korona si alishasema hakuna wewe unaitoa wapi?!TENA WATOE TAMKO JUU YA MIKUTANO YA LISU KWENYE MISURURU YA WATU HATA LISU MWENYEWE HAVAI BARAKOA, HUKU KORONA IKIWA NIJANGA. NAMUOMBA BAROZI HUYO AMUONYE HUYO LISU KUFANYA MIKUTANO YENYE MIKUSANYIKO YA WATU KWA KIPINDI HIKI CHA KORONA.
Aliyempiga risasi za ndege tutampata wapi ili aulizwe na nyie mmemfika sijui Ubelgiji sijui wapi, mnajua wenyewe! Mleteni tumuhoji!Embu muulize aliyempiga risasi atakuwa ana majibu mazuri?