Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
[/QUOTE]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Bashiru hakukosea kusema. Mpaka uchaguzi uishe tutaona mengi.Ukisikia udikteta ndio huu sasa.
Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk...
VIONGOZI wa vyama kuunga mkono wagombea wa vyama vingine bila ridhaa ya mkutano wa kamati kuu au mkutano mkuu sio udikteta?Kwa sasa Africa iba dikteta mmoja tuu naye ni John
Saccos kubwa inaungana na saccos ndogo ndogo.Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu.
Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo...
Wewe si ndio ulikuwa unamuona Membe ni snitch na hafai kuungana na Lisu? Leo tena umebadili gia angani?Hao watu wajanja, wamekwepa mitego ya msajili, najua unataka kuona anavifuta hivyo vyama, pole mtego wenu umeteguliwa.
Membe sasa hivi siyo mamluki tena?Tayari TAL na Maalimu wameshawatoa tena kwenye laini. Yaani mwaka huu utadhani CCM ni wapinzani
Kwa sasa mnampenda tena Membe?VIONGOZI wa vyama kuunga mkono wagombea wa vyama vingine bila ridhaa ya mkutano wa kamati kuu au mkutano mkuu sio udikteta?....
Mkuu kwanini unaona ya Act na Chadema tu,wakati Kuna ya CCM na TLP, UDP? au hivyo sio vyama vyasiasa?Umesahau kua 2015 mrema alienda adi kwenye jukwaa laCcm kule vunjo kumnadi na magufuli ili hali Chama chake kilisimamisha mgombea......;Msipaniki ndugu zangu pambaneni tu kwasera sio vioja Kama iv ni Aibu sanaKuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu.
Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo...
Ningekuona wa maana sana kama ungesema walau kifungu cha sheria kinachozuia hiloKuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu.
Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo....
Ile ilikuwa Ni makosa mwaka huu TLP walikaa vikao vya kamati kuu na mkutano mkuu ukapitisha kuwa wamuunge mkono mgombea Uraisi wa CCMM
Mkuu kwanini unaona ya Act na Chadema tu,wakati Kuna ya CCM na TLP,Udp?au hivyo sio vyama vyasiasa?Umesahau kua 2015 mrema alienda adi kwenye jukwaa laCcm kule vunjo kumnadi na magufuli ili hali Chama chake kilisimamisha mgombea......;Msipaniki ndugu zangu pambaneni tu kwasera sio vioja Kama iv ni Aibu sana
Bwashee, nyie katiba yenu inafuatwa? Mbona ya nchi hamuifuati? Kwanza mnajuaje hawana ridhaa ya wanachama? Au ndio mateke ya mwisho mnapiga kabla ya roho kuacha mwili?Ukisikia udikteta ndio huu sasa.
Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk....
Asante kwajibu zuri....mbona hamkupga kelele wachukuliwe hatua?Vpi kuhusu Udp maendeleo maana juzi John Cheyo kampgia kampeni mgombea uraisi waCcm nawakati wao nao wamesimamisha mgombeaIle ilikuwa Ni makosa mwaka huu TLP walikaa vikao vya kamati kuu na mkutano mkuu ukapitisha kuwa wamuunge mkono mgombea Uraisi wa CCM
Lyatonga Mrema aliwahi kumpigia kampeni mgombea wa mboga mboga huku chama chake kikiwa na mgombea lakini wewe takataka hukuona tatizo.Ukisikia udikteta ndio huu sasa.
Kwa mujibu wa katiba za Chadema na ACT - Wazalendo maamuzi yote makubwa na muhimu yanatolewa na vikao halali vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, mkutano mkuu nk...