MtuHabari
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 321
- 1,019
Kuna wakati nakuhurumia kuona unavyo umia kuliko hata Polepole au Bashiru, uchungu ulionao kwa jinsi CCM inavyo kula za USO unsjionyesha wazi.Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.
Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Pole sana, lichama wameliharibu hao mabedui watatu.
