Kuna wakati nakuhurumia kuona unavyo umia kuliko hata Polepole au Bashiru, uchungu ulionao kwa jinsi CCM inavyo kula za USO unsjionyesha wazi.Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.
Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahahah wanaweza wakaweka bomu nini.Lisu ni chaguo la Mungu ndo maana Mungu kamuweka hai mpaka leo pamoja na marisasi yote Mwilini.Mimi namuombea ashinde uchaguzi huuiWawe makini na kila sehemu wanapolaza hiyo chopa
Afadhali, Tume na CCM mwaka huu wanakula tu chenga za mwiliLeo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
View attachment 1604108
View attachment 1604090
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Wewe zuzu acha ufala wako kwa haya ulioandika hapa ndiyo yanakuharalisha kuolewa na polepole? wewe ndiyo muhini unafanya uhuni upewe uteuzi matokeo yake utapata HIV na uteuzi utapewa ukiwa kaburini umezikwa, mbumbumbu mapoyoyo ni uvccm kutafuna pesa za chama kwa kazi zisizo na tija matokeo yake mmezidi kuiteketeza ccm yenu ilyojaa washamba wajinga wa kutupwaHahahaha Unajua Nyie VYADEMA ni washamba Sana Tangu lini Ngombe Akanenepa Siku ya Mnada ...Mliwaambie watu Wagome kuhakiki
taarifa zao kwenye daftari LA kupiga kura, leo mnatumia Chopa kushawishi wapiga Kura Wa CCM wawapigie Nyie😂🤣😂🤣😂 Hopeless Humans Being.....
Mnaawambia Madenge ni Maendelo ya Vitu... Ila ili Muwafikie Wapiga Kura Mnatumia Vitu (chopa)😅😅😅 Hapa wenye akili kama sisi lazima tuwashangae
.... Ila Mapoyoyo na Mambumbu ya BAVICHA lazima Yashangalie. Tundu Lisu hajitambui Kabisa Uzuri wenye Akili Tushamfahamu Hata kuwa na Chake nchiii hii Maana Wahuni huwa hawajiandikishi.
ila wao ni Kushangilia na Kusukuma Magari ya WAHUNI wenzao.
HATUWEZI KUKABIDHI NCHI KWA WAHUNI
Sayansi mama D , mikutano ya Lissu haina mtiririko wa ngonjera kisha wasanii na nani sijui.Kwa siku 9, Mikutano 450
Hiyo ni mikutano 50 kwa siku
Sijui hii ni sawa na na sekunde ngapi kwa kila mkutano[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu mapesa sio issue. Issue ni uhuru wa mtu mmoja mmoja. Yaani kutoingiliana kwenye privacy zetu. Leo hii hakuna jukwaa la wakubwa kisa tu watu wameamua kusema hatutaki kuona hiki. Sasa kuna uhuru gani wakati walioko huko ni watu wanaojielewa na ni 18+ aged?Tundu Lissu anazidi kunishawishi kwa sera zake nzuri kumhusu mwananchi na Taifa kwa ujumla. Hakika Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli na watu wenye mapesa inakuja. Kura yangu kwa Lissu na ushindi wake uko wazi. Tukutane 28/10/2020 kwenye vituo vya kupigia kura
Penye haki ndipo penye uhuru pasipo na haki ndipo ilipo CCM kuwainea watuMkuu mapesa sio issue. Issue ni uhuru wa mtu mmoja mmoja. Yaani kutoingiliana kwenye privacy zetu. Leo hii hakuna jukwaa la wakubwa kisa tu watu wameamua kusema hatutaki kuona hiki. Sasa kuna uhuru gani wakati walioko huko ni watu wanaojielewa na ni 18+ aged?
Huo ni mfano wa vitu vidogo ambavyo kulikua hakuna haja ya serikali kupambana navyo wakati kuna vingi tu inatakiwa kuvikamilisha
Mwenyewe niliumiza mno KichwaWakuu, jana niliumiza kichwa sana ni jinsi gani kesho tarehe 19 octoba Lissu ataweza kufanya mikutano sita kwa siku hiyo moja kuanzia Manyara mpaka Moshi mjini kisha aende Pemba.
Jibu hili hapa. Sasa ni rasmi kamanda anaanza safari ya Chopa. Tukutane angani.
Kwa takribani siku tisa zijazo Tundu Lissu kwa kutumia Chopa ametangaza rasmi kuwa atafanya mikutano 450. Kila lakheri mbeba maono!
View attachment 1604099View attachment 1604100
View attachment 1604105
Nyayo za CCM-uongo mchana kweupe. Yohana Mbatizaji naona unapoteza kumbukumbu au unajitoa ufahamu sijui lipi ni lipi.Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.
Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Ujinga wako aibu yakoHatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.
Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Nilikua naongea na mlinzi mmoja wa mzee nasikia wanamwita JPM mzee; wanamlaumu sana Bashiru kua ni boya sana na ndo chanzo cha uminyaji wa uhuru kwa Watanzania.Tetesi : Pole pole na Bashiru wamekalia kuti kavu kiranja kafura sana.....
Afadhali, Tume na CCM mwaka huu wanakula tu chenga za mwili
Asante sana MkuuNilikua naongea na mlinzi mmoja wa mzee nasikia wanamwita JPM mzee; wanamlaumu sana Bashiru kua ni boya sana na ndo chanzo cha uminyaji wa uhuru kwa Watanzania.
Kibaya zaidi ni hawa watoto waliotoka jkt na kukusanywa hapo Kimbiji wanaandaliwa kwa ajili ya fujo za uchaguzi. Kwa wale wazazi wenye watoto wao wanayo nafasi japo na wao hawafurahii.
NIMESIMULIWA TU NA WAPENDA AMANI.
Uhai ni neema tu ya Mungu, Mkapa alikufa akiangalia TVJuzi viongozi wa Wanne kutoka Kenya wamenusurika kufa kwa ajali ya Helikopta, huwa haziamimiki sana hizi, zinapakwa rangi tu, anyway mlindwe kwa nguvu za Muumba siku a mwisho hizi
Tukutane 3010 kujipongeza...
Leo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
View attachment 1604108
View attachment 1604090
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Kungekuwa na Chopa angalau 2 za aina moja kuruka pamoja ingekuwa Tami zaidi kwa usalama wa rais wetu mtarajiwa.Leo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
View attachment 1604108
View attachment 1604090
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Kiranja kagoma kutoka public amejifungia ndani analia tu. JK kaenda kumuona ndo akaamua kumzawadia nyumba kubwa ambayo inaendelea kujengwa. Jiweeeeee!Tetesi : Pole pole na Bashiru wamekalia kuti kavu kiranja kafura sana.....