Wawe makini na kila sehemu wanapolaza hiyo chopa
Kweli. Kuna uzi uliletwa huku ukielezea yule Ring leader alikoswakoswa na ajali tetesi ya kupangwa ila miguu hana. Wengine wakasema mara alikufa. Yaani story ni nyingi. Ila ninajua malipo ni hapa hapa dumiani tu. Damu ya huyu kijana haitaacha watu salama maana laana zitawaandama sana.Hata mie nna wasiwasi kama kweli aliachwa salama! Wengine nasikia walisingiziwa ujambazi na kuuawa kama vibaka.
Pamoja na kuwa mkatoliki na msomi mwanasheria bado anaamini katika ushirikina??Acheni woga lisu atatumia chopa ,atafanya kampeni zake salama bila kudhurika, tazameni vizuri mkononi alichovaa tundu lisu ni kinga tosha kwa uhai wake wazee wa kinyaturu na kinyiramba wameshamuwekea kinga dhidi ya maadui zake.
Twende na lisu 2020.
Hawataweza rubani atakuwa makini sana,nae anataka kuishi.Sure ila hawataweza
Uwezo wenyewe unao? Kibaha hapo Lissu aliwekwa masaa 10 anapigwa jua na mbu wala hutia hata mguu!! Hahahahaha...!!Tunaliamusha dudeeee
Usiwalaumu sana mkuu,biblia inasema njia za Mungu hazichunguziki,wala nia ya Mungu.inawezekana wamewekwa hapo na Mungu ili wawe daraja kwa ukombozi Wa watu Wa Mungu.Kuna wakati nakuhurumia kuona unavyo umia kuliko hata Polepole au Bashiru, uchungu ulionao kwa jinsi CCM inavyo kula za USO unsjionyesha wazi.
Pole sana, lichama wameliharibu hao mabedui watatu.
Ukuta tu utasikia intelejensia angani imebaini uhalibifu wa hali ya hewaHawachelewi kujenga ukuta angani
Hizo dini tu za wazungu kamwe hatuwezi kuacha jadi zetu ambazo hata babu na baba zako bado wanaziamini, hata jiwe wenu anaamini ktk jadi.Pamoja na kuwa mkatoliki na msomi mwanasheria bado anaamini katika ushirikina??
We unamsikiliza huyu mataga.tangu lini akaisemea mema chadema huyu taga.Pamoja na kuwa mkatoliki na msomi mwanasheria bado anaamini katika ushirikina??
...hii ni move kali sana....huyu mwamba kampeni manager wa Lissu ni kichwa smart sana...amewaweka chini kabisa kina bashiru na ccm yao....huyu mwamba ni wa kupongeza sana....
Hongera sana Mkuu. Comments zako zimetulia. Sina la kuongeza.1)kapigana na Jiwe vita vya ardhini Jiwe amejitoa vitani hatmaye katangaza hataenda kwa walima korosho, mashambulizi ya Lissu ktk vita vya ardhini yameacha hekaheka na taharuki kubwa huko CCM.
2.Lissu kapigana vita vya majini kukishambulia kisiwa cha ukerewe na viunga vyake , kwa kutumia mtumbwi(dhow) baada ya Adui kublock kivuko, Lissu mpiganaji asiyechoka alijitosa mazimazima kuishambulia Nansio kwa mtumbwi na kuacha hekaheka kubwa CCM.
3: Baada ya kampeni za Leo Babati Fied marshal Tundu Antiphas Mghwai Lissu ataanza mashambulizi kutokea Angani na maeneo yaliyokusudiwa(Targeted areas ni Tanga, pemba, Unguja, kanda ya nyasa, mtwara, Arusha, karatu, na mengine mengi, maadui zake wanaonekana kulemewa ktk vita hivi kwani mpiganaji wao indaiwa yuko Garage akimwaga Oil na kuweka Lubricant mpya ktk tyre.
Freedom is coming,Let us move together on 28/10/2020.
vote for Chadema, ACT, vote for president Tundu Antiphas Mghawi Lissu.View attachment 1604098
Bashiru na Polepole wameuwa ccm kwa sababu hawakuwa na uzoefu wowote kisiasa , wametegemea polisi kudhibiti Chadema bila kujali angalizo la Kikwete la mwaka 2012...hii ni move kali sana....huyu mwamba kampeni manager wa Lissu ni kichwa smart sana...amewaweka chini kabisa kina bashiru na ccm yao....huyu mwamba ni wa kupongeza sana....
Hahaha😂 😂1)kapigana na Jiwe vita vya ardhini Jiwe amejitoa vitani hatmaye katangaza hataenda kwa walima korosho, mashambulizi ya Lissu ktk vita vya ardhini yameacha hekaheka na taharuki kubwa huko CCM.
2.Lissu kapigana vita vya majini kukishambulia kisiwa cha ukerewe na viunga vyake , kwa kutumia mtumbwi(dhow) baada ya Adui kublock kivuko, Lissu mpiganaji asiyechoka alijitosa mazimazima kuishambulia Nansio kwa mtumbwi na kuacha hekaheka kubwa CCM.
3: Baada ya kampeni za Leo Babati Fied marshal Tundu Antiphas Mghwai Lissu ataanza mashambulizi kutokea Angani na maeneo yaliyokusudiwa(Targeted areas ni Tanga, pemba, Unguja, kanda ya nyasa, mtwara, Arusha, karatu, na mengine mengi, maadui zake wanaonekana kulemewa ktk vita hivi kwani mpiganaji wao indaiwa yuko Garage akimwaga Oil na kuweka Lubricant mpya ktk tyre.
Freedom is coming,Let us move together on 28/10/2020.
vote for Chadema, ACT, vote for president Tundu Antiphas Mghawi Lissu.View attachment 1604098
Shetani hajawahi kumshinda MunguSishauri lissu kutumia helkopta kipindi hiki cha mwisho...
Hasa akienda huko kusini.
Huu ni mtego wa maisha yake.
Sijui kamshauri nani
AI see 😂Hawachelewi kujenga ukuta angani
Jogoo hafi kwa utitiri, kuwa na amani Mkuu.Usalama wake upoje jamani? Mungu awape mwongozo siku Hizi za mwisho. AMINA
Joseph Toleho NYANDA...Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.
Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!