1)kapigana na Jiwe vita vya ardhini Jiwe amejitoa vitani hatmaye katangaza hataenda kwa walima korosho, mashambulizi ya Lissu ktk vita vya ardhini yameacha hekaheka na taharuki kubwa huko CCM.
2.Lissu kapigana vita vya majini kukishambulia kisiwa cha ukerewe na viunga vyake , kwa kutumia mtumbwi(dhow) baada ya Adui kublock kivuko, Lissu mpiganaji asiyechoka alijitosa mazimazima kuishambulia Nansio kwa mtumbwi na kuacha hekaheka kubwa CCM.
3: Baada ya kampeni za Leo Babati Fied marshal Tundu Antiphas Mghwai Lissu ataanza mashambulizi kutokea Angani na maeneo yaliyokusudiwa(Targeted areas ni Tanga, pemba, Unguja, kanda ya nyasa, mtwara, Arusha, karatu, na mengine mengi, maadui zake wanaonekana kulemewa ktk vita hivi kwani mpiganaji wao indaiwa yuko Garage akimwaga Oil na kuweka Lubricant mpya ktk tyre.
Freedom is coming,Let us move together on 28/10/2020.
vote for Chadema, ACT, vote for president Tundu Antiphas Mghawi Lissu.
View attachment 1604098