Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Tulionya aucontrol mdomo wake hata angalieni mnavyolialia.

Bado October 28 aisee kazi mnayo Chadema,msijidanganye Watanzania wataingia barabarani wakishaipigia kura CCM wao wanapenda kuendelea na majukumu mengine kazi ya kulinda kura ni ya Polisi.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Basi endeleeni kuwatii lakini wasiwatumie kuleta fujo.
 
hivi huyu mgombea urais wa NRA ni yupi? ni yule mama?
ni Leopold Mahona, alikwenda kufanya kampeni zake Kilimanjaro akasema chama chake kina muunga mkono Lyatonga Mrema ubunge. ni wale wale tu.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi....
Mbona hayo malalamiko wameweka ya NRA pekee? Wao CCM wamelalamika nini, mbona hawaja andika malalamiko yao?? Hawa walikurupushwa. Ila najua TAL lazima aendelee.
 
You know what is next move will be atajifanya anataka kuingia kitaa kwa lazima.

CDM wasipomzuia NEC ipige chini wagombea wake wote, chama (kama taasisi) ndio kinabeba ‘vicarious liability’ sio mgombea na rules za uchaguzi wamekubali wenyewe kama chama.

Halafu tuone kama wagombea CDM wote wapo tayari kupoteza ugali kisa fujo za Lissu.
 
Mfu
Mfuteni bwana. Msitishe watu hapa,vinafanywa vitwa vya maajapu Sana ,na naona mnabeti na amani ya nchi hii,we unafikili kikinuka upo salama na familia yako,Hali Kama hii lazima kupingwa na Kila mmoja anae litakia mema taifa hili,acheni kabisa wewe na tume yako
 
Ww huwa ni kilaza kweli kama jina lako
 
Labda anataka awe milionea . Zimbabwe wakati wa Mugabe ukitaka kununua mkate uwe na gunia la pesa. Ukinunua tiketi ya ndege uende na lori la noti .

Labda ndio anaona ndio maendeleo hayo
(Sep 17, 2019)
Mwamba/Jiwe la chokaa (Limestone) huwa na muonekano wa mwamba/jiwe gumu/imara, lakini maji ya mvua hulimung'unyua kiulaini. Ndivyo yalivyotokea mapango ya Amboni Tanga, Mkemwenza Zanzibar au mito ambayo kuna sehemu hupita chini/aridhini kama Kiwira Tukuyu.
 
Haya vibaraka wake walisema Lisu anajua sheria kumbe hamna kitu ndio hii ya kujiona unajua kila kitu
 
Ww huwa ni kilaza kweli kama jina lako
Afanye campaign za ustaarabu na sio kujifanya anatishia watu nyau.

Shida ipo wapi akinadi sera zake kwa wapiga kura kama wengine na sio kujifanya a ‘demagogue’ wanna be.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…