Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Mjomba kaona kumruhusu Lissu kufanya kampeni yeye akiwa likizo itamrudisha nyuma sana🤣🤣🤣
 
yaani kila anapopita lazima amponde Magufuli na CCM yaani analazimisha yaani
Kwani kwa miaka mitano si Magufuli alikua akipita nchi nzima anaponda upinzani huku upinzani ukiwa hauruhusiwi kujibu na akiahidi kuhakikisha vyama hivyi vimefutika vyote ifikapo 2020?
 
Mwambieni akubali mdahalo, aje na huyo wa NRA na vibaraka wengine, ndio utaelewa vizuri
 
Na anayetaka kusuguliwa amechukuliwa hatua gani?
Vipi mtakinukisha?

[emoji3][emoji3][emoji3]Tukiwambia Lisu ni debe tupu mnabisha,

Mlijifaragua aliposema barua ya kuitwa nec lazima apelekewe yeye. Haya wenye kujua sheria wamemjibu kwa vitendo sasa
 
Lisu kujua sheria haimaanishi wewe uko juu ya sheria.
 
Hii ban itamuongezea sana support lisu, tulipaswa kumpuuza tu,😥😥
 
Hivi anaposema malalamiko yanamuhusu yeye na sio chama, sheria yetu inaruhusu wagombea binafsi?
Hairuhusu,lakini mbona mapingamizi yanaruhusu mgombea mwenyewe kujitetea na sio kutuma mwenyekiti wa chama au katibu wa chama? na Kama ndo hivyo iweje mgombea anapoitwa kwenye kamati ya mahadili ya tume upeleke barua kwenye chama na sio kumfikishia mgombea? Wagombea wote kwa Sasa ndo wako chini ya tume,na sio vyama ,vyama viko chini ya msajili hii haitaji uwe na akili kubwa
 
Bila chama hao wagombea watakuwepo?
 
Mambo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Mambo ya undava undava au sio, hakuna kuingia ikulu hakuna tume huru hili ndio koo letu wanafisiemu na vizazi vyetu ' ukitaka ungana nasi au tukumiminie risasi
 
halafu anaitwa....anakaidi...
Lisu anajua fika maji yamemfika shingoni...anajua hana chake kwenye urais sasa naona ameamua kulikoroga tu.
sisi wafuasi wake hakuna tunalolijua zaidi ya kushangilia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…