Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

inasemekana katika kamati ya maadili kuna vyama vitano na vitatu vilipinga LIssu kufungiwa na vingine 12 vikaunga mkono.Huenda hivi vitatu ni ACT na CDM na NLD.Swali je hivi vyama vingine 13 havijakatwa na kufantiwa hujuma kama inavyofanyiwa CDM na watu wa NEC?
 
Alafu we hujielew kbsa huwenda unaishi kwa baba ako
 
Hatimae wenye busara ndani ya chadema wamemfunga speed governor bwana lodilofa mjuvi na mjivuni wa sheria kuliko mtu yeyote duniani
 
Ni mjinga tu yule asiye jielewa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app

lissu ndo anajua sheria tanzania nzima mwenyewe! na anatoa hukumu peke yake nchi nzima wengine majinga, baba wa taifa nae alipokea tusi , sasa hii ni onyo tu! polisi wamesema wanatumia hekima kumshuhulikia, sasa uchaguzi ukiisha tu kuna kesi za jinai znamsubiri
 
Najaribu kuweka sawa kumbukumbu zangu za maambo ya uchaguzi na naomba kufahamishwa kwa usahihi siku ambayo mgombea urais wa JMT Tundu Lisu atatoka kifungoni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mpigie Kura magufuli,Kama Kuna Cha kurekebishwa kitarekebishwa,

Unatakiwa umsome magu umelewe,his projects is for the benefit of the country

Hebu niambie your personal difference na yeye ni Nini????

Vote for magufuli.
The guy isnt fit to rule this country,he became the leader kwa bahati tuu due to power struggle between Membe and Lowassa nimtu aliye bebwa na chama but hakuwa na strategies hata ndani ya CCM to outclass rafki zake ili awe pa ballot paper alidandia ndiyo mana hana uwezo wakushinda kwenye ulingo wa siasa kama predecessors wake.hata kwa gun point cnt vote for your man.
 
1.Poor human rights record
  • Who shot Tundu Lissu?
  • why Nape was pointed gun when was trying to exercise freedom of expression-a birth right?
  • Who abducted Sanane and the Journalist?
  • Who killed Mawazo?
  • why extra judicial killings in our own beloved country yet we have judiciary e.g Kibiti?

2.Poor governance
  • Zero transparency -who knows the actual price ya ndege if really TZ government bought?
  • Why Auditor General was fired un procedural?
  • why all media houses are under armpits of your party?
  • why using excess force to your own citizens when are demanding better life?

Clear me very well on those two issues in detail so that l can make an informed decision on whether to vote for your party or NOT .
l rest my case!!!
 
You have No personal difference.Oky

From your personal view,what's your rate by percentage % on human right record and Good governance.
Is that the way you can clear me on range of issues presented to you so that l can vote for your party?? try to be logic in your thinking otherwise cant see any justifiable reason to change my mind
 
Am in doubt of your IQ, do you justify the killings in the Middle East and Tanzania???...your a vagabond so pathetic.....how can l gauge someone who is very incompetent in the running the affairs of the state??afadhali niwe counted kwenye vote apathy ..
Jibu kwanza hoja zangu zote those with "Why and Who" hapo ntakuelewa sio kujifanya hujaelewa
 

1.Poor human rights record
  • Who shot Tundu Lissu?
  • why Nape was pointed gun when was trying to exercise freedom of expression-a birth right?
  • Who abducted Sanane and the Journalist?
  • Who killed Mawazo?
  • why extra judicial killings in our own beloved country yet we have judiciary e.g Kibiti?

2.Poor governance
  • Zero transparency -who knows the actual price ya ndege if really TZ government bought?
  • Why Auditor General was fired un procedural?
  • why all media houses are under armpits of your party?
  • why using excess force to your own citizens when are demanding better life?

-Swali langu huna majibu ya hoja zangu hizo juu right???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…