Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
Mbona sielewi Mambo aya ,japo sijui sheria hivi mahakama inaweza mfunga mtu bila kujieleza?
Tume.

Kwa ushauri tu Basi muhengueni kabisa ila nafsi zenu labda ziwe Safi ,au sitisha uchaguzi ,mbona tume Kama vile mnawatia watz katika majaribu yasiyo ya msingi,lengo lenu kwa tz hii ni lipi?
 
amenisemea mm na wengine wasiopenda kuandika.
 
😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😗😗😗😗
 

Mbona alivyomwita yule mungu mtu dikteta uchwara alitoka.

Wamejiingiza wenyewe kibra,Lisu anawamaliza mapema tu pale mahakamani.

Lisu unamsikiaga tu kumbe,subiria uone moto.ataendelea na kampeni kama kawa.mkimkamata ndio mnajipeleka wenyewe kwenye sheria sasa tuanze kujadili vifungu hapo sasa ndio Lisu atawamaliza mtabaki midomo wazi.
 
Na aliyempiga spana hajalala mauti?
 
Kukosa kwa akili kwa CCM, NEC na watu wao ndo karata turufu kwa Tundu Antiphas Lissu mwaka huu!!
 
Hapo hakuna tume ni genge la CCM tu! Tatizo elimu ya bongo inawajenga watoto tangu wadogo kuwa upinzani ni vurugu ,upinganji, uvunjaji sheria ila laiti wangekuja huku nchi za wengine wangeona namna upinzani ulivyoleta mabadiliko katika nchi! Haiwezekani miaka 60 watu ni wale wale halafu useme kutakua na akili mpya! Nkt
 
Acha afungiwe tu maana hamna namuna nyingine sasa.
 
ndiyo mimi ndiye!
 
Nimekupa "Thanks" kwa uongo na kuwa kama kipaza sauti kama wengine humu cha Lissu. Tungoje tuone this time kama atatoka!
 
Kwa jinsi Zimbabwe maisha yalivyo magumu, ni juha tu kama ww anaweza kuandika huu utoto hapa jukwaani. Kwa taarifa yako, hata yale mashamba waliyopewa wazalendo uchwara Zimbabwe yanarudishwa kwa wazungu.
Hapa Tanzania akuna shamba la mzungu lililochukuliwa na serikali. mada yangu sio mashamba,nachosema mimi nyinyi mnahisi mabeberu watawasaidia endapo mtavunja sheria za nchi yetu kama walivyomsaidia Morgan wa Zimbabwe.

My friend sahau kabisa, hii ni Tanzania na Rais ni JPM mnapigwa spana na mabeberu wapo wanaona.
 
Hakuna kulala, Mungu mbariki TAL
 
Mnazidi kuwapa ushahidi Marekani. Subirini Muone consequences zake .

Yaani mwaka huu lazima Tundu Lissu awachanganye hadi mvue nguo!! Dadekiiii 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…