Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

Kuna Divide and rule ,kuna baadhi ya mabus yametoka ,hayo maBUS inabidi yachomwe moto huko njiani.

Hao ndiyo wanarudisha nyuma maendeleo ya NCHI.
mtangazaji kasema gari limetoka moja muda wa saa moja kamili ambapo yeye alikuepo mpaka kuanzia alfajiri
labda kama kuna mengine nusu saa hii

lakini pamoja na madai yao
jana ukimsikiliza waziri mi naona kama ilipaswa hawa jamaa wafanye kazi leo
madai yao yachakatwe taratibu
 
Kauli za wanasiasa ni za ZIMA MOTO si za kuchukulia serious ndiyo maana % kubwa ya madereva wamekaza ,hao wanaotoka ndiyo VIPENYO ila ni MADERE.
 
Kwa hiyo nyie mnaowalalamikia madeleva mnataka kusema hawaha hakiri mpaka waweke mgomo? Na kama kuuliwa ndugu zenu mbona had matrafic wenyewe wanapataga ajari au ni ujuaji wa kijinga ety mmepoteza ndugu zenu kwa hiyo bila ajali wasingekufa ama! Au madrewa wanapenda kufa
 
jambo walilofanya jana limefanikiwa 100%
sasa pia waziri ameonesha nia ya kutafua jambo hilo
lakini pia jambo kubwa ambalo mimi naliona ni kutafuta mizania...sio kufuta hizo sheria kabisa
hawa madereva nao bwana
kuna wengine pia ni mafta taa sana....kuna wengine barabarani wanafanyaga mambo ya hovyo na si unaona ajali pia zipo
so wasitake wanachotaka wao kiwe 100/100 inabidi watulie utafutwe mzania
 
sheria lazima ziwepo popote pale
 
Ni kweli ila madereva mafuta ya TAA maana yake Askari wa barabarani wanashindwa kuitekeleza sheria wao wanataka tu Pesa ya Kiwi tu ,ukitembea hata 140 kwenye speed limit 50 we fresh tu tembea ili mradi umetoa mlungula.
 
Back
Top Bottom