Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

Uko sawa ili Rais ajitokeze, Rais gani yuko km msukule? Nchi ni km haitawaliki lenyewe limejificha, km anajua kuna EDA si angeachana na urais wa nchi yetu? Yule mbwa wake MAKAME MBARAWA NAYE YUKO EDA?
Sasa Kila changamoto ndani ya nchi hii kama ni razima itatuliwe na rais Sasa Kuna haja gani ya kuwepo wasaidizi wake wanao lipwa na kuhudumiwa Kwa Kodi za watz?
 
Kwanini serikalu kupitia kiongozi mkubwa km waziri mkuu isitoe msimamo? Nchi ni km haina kiongozi mkuu
UMegomewa mfumo wa point ambao, wizara tarehe 19 sep ilitoa ufafanuzi kwamba mfumo haujaanza rasmi upo kwenye majaribio, jana press za za asuhi kamanda Awadh karudia kusema hivyo mfumo wa point bado haujawa rasmi, jioni waziri karudia tena kusema mfumo wa pointt bado haujawa rasmi upo kwenye majaribio kama alivyofafanua tareh 19.

Kukawa na hoja kwamba maderwva wanasema kama majaribio mbona wameshaanza kukatwa, waziri akatoa kauli ya jumla kwamba mfumo huo k2a sasa anausimamisha

Tuhuma zingine ni maafande kuwategeshea madereva kuwapiga faini na rushwa, sasa waziri anayehusika na mapolisi si ndo huyu Katambi.

Kachukua barua za viongozi wa madereva na madereva wengine waliongea jana na wengone wameitwa leo wizarani pale.

Hapa waziri mkuu unayemtaka wewe wa kazi gani?
 
Back
Top Bottom