Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
imagne una mtoto /watoto na mizigo uende mpaka hapo mbezi alafu ukite mapicha picha haya
Pole!
Rudi home. Subiri utaratibu mwingine au chukua IT
imagne una mtoto /watoto na mizigo uende mpaka hapo mbezi alafu ukite mapicha picha haya
Sijaelewa kabisa nieleweshe tena elezea kwa mifano😆😆😆 banduguWewe muha?
Unapenda kubishana au kuelewa kwako ni changamoto?
Sasa mtu anaongelea kuhusu mabasi na mimi nimemuuliza kwanini anaenda stendi wakati madereva wa mabasi wamegoma?
Wewe unakuja na suala la coaster, sasa ticket kakata kwenye bus au coaster??
Masai hajaenda stendi kupanda coaster, kaenda kupanda bus coz alishakata ticket..!! Hapo ndipo hoja yangu ilipo. UMEELEWA?
mtangazaji kasema gari limetoka moja muda wa saa moja kamili ambapo yeye alikuepo mpaka kuanzia alfajiri
labda kama kuna mengine nusu saa hii
lakini pamoja na madai yao
jana ukimsikiliza waziri mi naona kama ilipaswa hawa jamaa wafanye kazi leo
madai yao yachakatwe taratibu
Mabasi yatoke yaende wapi? Kila siku ajali chanzo Polisi. Dereva anaendesha gari huko macho yakiwa kwenye dashboard sababu ya King'amuzi cha LATRAKulingana na habari nayoiskiliza hapa live kutokea mbezi-magufuli ni kwamba mabus hayatoki
Embu tujulishane wadau uko mlipo ili watu wajue altrnative
ila mbona sasa bado mnakata ticket nyie mabus??
Pia soma: Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar
Malalamiko ni mengi yako chini kwa chini kuanzia kitambo. Likiisha hilo la point,bado yapo mengine. Kuna la kila baada ya hatua 20 traffic. Utafika saa ngapi? Kituo cha ukaguzi mfano ukitoka mbeya mpaka dar angalau vikiwa vingi vitatu.Si Katambi kadai wamesitisha kukata pointi.
mgomo uliosha jana
Mashiko ndiyo nini? Wewe elewa watu wana madai yaoweka hapa hayo madai rasmi ya madereva yaliyotoka kwenye chama chao tuone kama yana mashiko yoyote
Unaandika kama umekata kichwa wakati walimu na manes wengi ni makadaSasa wewe na akili yako utegemee nesi au mwl aje kukusaidia kugoma kisa shida yako???
Hata kama mgomo huu unatuumiza wanyonge, nawaunga mkono hao wagomaji hadi kieleweke. Chama Cha Machawa (CCM) na serikali yake ya kigaidi hawana huruma kwa madereva. Kwanini wawakate pointi kihuni? Na huu mkato wa pointi umeanzishwa na mapolisi ambao hawakwenda shule. Kummamma zao!Kulingana na habari nayoiskiliza hapa live kutokea mbezi-magufuli ni kwamba mabus hayatoki
Embu tujulishane wadau uko mlipo ili watu wajue altrnative
ila mbona sasa bado mnakata ticket nyie mabus??
Pia soma: Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar
Na wao warudishe nauli za watu, wanaendelea na mgomo lakini abilia wakiomba kurudishiwa nauli zao hawataki kirudisha ngoja waje wayachome moto hayo magari yenu akili ziwakae sawa yaani watz na utapeli ni damu damu.
Kuna wasafiri wamekata tiketi tangu siku za nyuma wakitegemea kusafiri siku ya Jana ambayo ndo mgomo ulianza Sasa wamefanya mgomo abilia wanaomba warudishiwe nauli zao waangalie mipango mwingine hawataki kurudisha.Wewe ushaambiwa kuna mgomo unakata ticket ya nini
Hahahah🤣🤣🤣wameacha kuvuna point...Ngoma bado mbichi, akina Katambi si wanaleta ubabe
Usafiri wa umma wa barabarani hususani mabus unatagemewa toka kwa watanzania kwa wingi kwa asilimia 98 unajua majority ya watanzania hawawezi kuaffod usafiri wa anga
serikali huijui ww madai yachakatwe vipi? wana madai mengi ila hili la point ndio zito lililoeaibua jana wakati katabi anaongea mapoti wa magu walitoa plate number magari mengi pale mbez wakadai kuwa namba zirudishwe ndio waondoke na walofungua wazifunge wenyewe..mtangazaji kasema gari limetoka moja muda wa saa moja kamili ambapo yeye alikuepo mpaka kuanzia alfajiri
labda kama kuna mengine nusu saa hii
lakini pamoja na madai yao
jana ukimsikiliza waziri mi naona kama ilipaswa hawa jamaa wafanye kazi leo
madai yao yachakatwe taratibu
Nimeambiwa hayajatoka, lakini hata kama yametoka nilitaka nipate uhakika kwanzaleo mikoan si yalitoka lakin?
Hapo watakaofaidika ni wenye nazoNjia nyingine ya kukuza mapato kwenye usafiri wa anga
Ni kweli mkuuBahati mbaya SGR haikatizi mikoa mingi
Ili mbegu iote lazima ife kwanza,.Migomo ni njia sahihi zaidi kuliko maandano katika kushinikiza serikali dhalimu...
Lakini sasa kwa hali za kiuchumi za Watanzania, kitendo cha kutokuingiza ujira kwa siku, kundi kubwa la watu wanaweza wakafa njaa...
Sababu wengi wetu hutegemea kipato cha siku ili kuweza kula...