Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
mfumo upo on bado
Mfumo kuwepo online haina maana msafiri ukate tiketi huku ukijua mabasi hayatoi huduma...
By the way wenye mfumo sidhani kama ni wenye mabasi (wanaojua watasahihisha), kuna kampuni ambayo inahodhi hiyo mifumo ya tiketi na imekuwa customized kulingana na kampuni ya bus...