Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

kulingana na habari nayoiskiliza hapa live kutokea mbezi-magufuli ni kwamba mabus hayatoki

embu tujulishane wadau uko mlipo ili watu wajue altrnative
ila mbona sasa bado mnakata ticket nyie mabus??
Na hapo ndio tatizo linapoanzia safari hazipo lakini bado company za mabasi wanaendelea kukata tiketi
 
Kinachotakiwa Sasa ni Kila kundi kweye jamii wagome, kuanzia walimu,manesi , Hadi bajaji kushinikiza uongozi mbovu wa nchi maana Raia huku chini wanateseka sana.
Hawana huruma na wananchi
Hizo secta ulizozitaja za manesi na walimu usiwategemee kwenye kusimamia haki zao
 
yaani kuhimizwa kuzingatia taratibu nzuri za usalama wa barabarani ni kurudisha nyuma maendeleo?
Hiyo haiwezi kuwa hoja ya msingi madereva sio vilaza kiasi hicho hakika jambo lao bado halijatatuliwa acha kuwasikiliza wapiga debe ongelea madereva wanaojitambua wenye mikataba yao kwenye kazi zao wanajitambua
 
Wewe kwanini usitulie wakati umeshaona kuna mgomo?

Mengine mnayataka wenyewe, kusumbua watoto tu.!
Usafiri wa umma wa barabarani hususani mabus unatagemewa toka kwa watanzania kwa wingi kwa asilimia 98 unajua majority ya watanzania hawawezi kuaffod usafiri wa anga
 
Back
Top Bottom