kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Pole dada masai... unataka kusafiri... panda gari nyingine kama hizi special Hire n.k
Sikatai wala sibishi, je ni sahihi kujipeleka stendi wakati unajua kuna mgomo?Usafiri wa umma wa barabarani hususani mabus unatagemewa toka kwa watanzania kwa wingi kwa asilimia 98 majority wa watanzania hawawezi kuaffod usafiri wa anga
jana ulikua standi?? duh poleNdio maana mimi baada ya kurudi jana na mabegi leo nimeona nisikilizie upepo kwanza
hapana mimi biashara yangu inategemea mabus kwa delivery za mikoaniPole dada masai... unataka kusafiri... panda gari nyingine kama hizi special Hire n.k
wamesema hivi ule mfumo uko controlled na serikali ili wakate kodi zaoNa hapo ndio tatizo linapoanzia safari hazipo lakini bado company za mabasi wanaendelea kukata tiketi
si jana waziri aliwasikiliza jamaniLa msingi ni wasikilizwe na wapatiwe majibu ya maswali yao,mtu mzima akigoma amekata kuwa punda ana jambo lake la muhimu
Mwalimu kama anawekwa kwenye lory kama ng'ombe anasafirishwa kwenda kujaza uwanja fasi moya ivi mkutano ukiwa bila ubishi atapata wapi power ya kugoma? Kwanza anadai nini mwalimuKinachotakiwa Sasa ni Kila kundi kweye jamii wagome, kuanzia walimu,manesi , Hadi bajaji kushinikiza uongozi mbovu wa nchi maana Raia huku chini wanateseka sana.
Hawana huruma na wananchi
Kuna wanaopakia ujue ila sio mabus ukiachana na waliogoma kuna coaster zinapaikiaga vipindi kama hivi na nauli zao huwa wanazidisha mara mbili,kuna wazee wa fursa wanazibebza fursa,so kwenda stend sio kama utakosa kabisa usafiri nikujiongeza tu na mtu mpaka kulazimisha kutafuta usafiri inategemeana una dharula yenye namna ganiSikatai wala sibishi, je ni sahihi kujipeleka stendi wakati unajua kuna mgomo?
Utapanda punda huko stendi?
jana ulikua standi?? duh pole
hapana mimi biashara yangu inategemea mabus kwa delivery za mikoani
japo pia na cargo tunatumia
Shida sio kusikilizwa shida ni utatuzi umefanyika?si jana waziri aliwasikiliza jamani
Umemuelewa mtoa mada?Kuna wanaopakia ujue ila sio mabus ukiachana na waliogoma kuna coaster zinapaikiaga vipindi kama hivi na nauli zao huwa wanazidisha mara mbili,kuna wazee wa fursa wanazibebza fursa,so kwenda stend sio kama utakosa kabisa usafiri nikujiongeza tu na mtu mpaka kulazimisha kutafuta usafiri inategemeana una dharula yenye namna gani
DuhKinachotakiwa Sasa ni Kila kundi kweye jamii wagome, kuanzia walimu,manesi , Hadi bajaji kushinikiza uongozi mbovu wa nchi maana Raia huku chini wanateseka sana.
Hawana huruma na wananchi
Pole, wansemaga janga la wengi halina ubayaNdio maana mimi baada ya kurudi jana na mabegi leo nimeona nisikilizie upepo kwanza
Mbona ameeleweka vizuri tuUmemuelewa mtoa mada?
Hebu soma tena uzi wake..!!
shida hawa jamaa wanaendela kukata tiket
hivi jana kuna tatizo ambalo katambi hakulizungumza?Pole .... upepo bado hauko shwari
Labda kenya ila hii Tanzania yenye machawa😂😂Kinachotakiwa Sasa ni Kila kundi kweye jamii wagome, kuanzia walimu,manesi , Hadi bajaji kushinikiza uongozi mbovu wa nchi maana Raia huku chini wanateseka sana.
Hawana huruma na wananchi
mfumo upo on badoWenye mabus kwani wanalazimisha mtu kununia tiketi?
Basi tatizo lipo kwako hujamuelewa..!!Mbona ameeleweka vizuri tu
Siwezi kujibu vitu ambavyo vipo kwenye public domain.Acha ubabaishaji
Hilo nilikujibu kuotkana na swali ulilouliza kuwa kwnini mtu aende stendi huku akijua madereva wa mabus wamegoma ndipo nikakuambia watu wanasafiri na mbadala zipo means ndiyo maana watu wanaenda kuangaliaBasi tatizo lipo kwako hujamuelewa..!!
Yeye anaongelea kuhusu mabasi sio hizo coaster ulizosema akapande..!!