Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Umemsikia Mkuu wa mkoa alichokisema? Amesema Tanzania ni kubwa sana. Yale yale niliyoandika mimi. Kariakoo ni ndogo sana ukilinganisha na ukubwa wa Tanzania.Unajua kwa siku TRA wanaingiza kiasi gani kwa biashara ya Kariakoo pekee.
Unajua kwanini Kariakoo ni mkoa wa kikodi?
Unajua kariakoo inahudumia Tanzania kwa ukubwa gani?
Unajua Kariakoo inahudumia nchi ngapi zisizo na bandari?
Sasa fungeni maduka yote Kariakoo kwa wiki moja tu, halafu tuone nane atakayepata hasara; serikali au mfanya biashara? Tuone nani atadaiwa kodi ya frame mwisho wa mwezi.
Mambo mengine yanahitaji akili na siyo mihemuko. Mfanyabiashara mwenye akili hafungi duka sababu anajua at the end of the day ni yeye atapata hasara.