Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
ni kweliMengine yana hoja mengine ni upuuzi kwamfano hiyo No.12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweliMengine yana hoja mengine ni upuuzi kwamfano hiyo No.12
Hujui kuwa uchumi wa nchi nao utasimama kwa hizo siku tatu,na wewe unaesema ungewaacha pia hujui kuwa utaathirika.....Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.
Huwa ni hand to mouth.
Unajua Dar es Salaam inachangia asilimia 75 ya mapato ya serikali na Kariakoo inachangia kiasi gani?Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.
Huwa ni hand to mouth.
Inaweza kuhamishwa through paradox of thrift. Siyo lazima.dar tu peke yale. Serikali inaweza kuhamisha hata lindo ndo kuwe kunatokea mapato makunwa. Serikali haishindwi kituUnajua Dar es Salaam inachangia asilimia 75 ya mapato ya serikali na Kariakoo inachangia kiasi gani?
Serikali imeshindwa kupunguza Kodi zao sababu inazihitaji wakati huu fedha za ukarabari na ujenzi wa barabara hazitoshi kabisa sasa anasikika punguani mmoja anataka za Kariakoo zisiwepo kabisa.
Ndio maana mpaka unakata moto huwezi kuwa Rais.
Kituko siyo peke yake............Rc chalamila kama mkuu wa mkoa ili swala ilibidi kuita wafanyabiashara wote kukaa nao kikao ila unatumia ubabe ambao umeulizwa na mmoja kati ya wananchi umeshindwa kujibu.
View attachment 3024747
Ww unafanya kazi gani? Na kodi unalipaKodi si ombi. Kama umechoka biashara achia wengine wafanye hizo biashara. Mazingira Ni wezeshi hapo kariakoo. Acheni kusumbua Viongozi
Naungana na ww, walipe kodiKodi si ombi. Kama umechoka biashara achia wengine wafanye hizo biashara. Mazingira Ni wezeshi hapo kariakoo. Acheni kusumbua Viongozi