Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe mana watanzani hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima. Huwa ni hand to mouth.
Uko sahihi maana huna akili.
 
Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe mana watanzani hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima. Huwa ni hand to mouth.
Ndio maana si rais, ngekuwa hivi ningekuwa vile, huwez kuwa leader with this type of mindset
 
Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe mana watanzani hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima. Huwa ni hand to mouth.
Unatumika mechanism gani kutafakari na kubwabwaja🙆
 
Nenda kafungue geti shemeji yako anarudi kula mchana dadaako amesema nikuambie
 
Mbaya kuhifadhi kichwa Cha mtu ndani ya friji ila ni mbaya zaidi kuwa na ndugu halafu kichwa maji....
 
Ndio utaratibu wa ‘free-market’ kuingia na kutoka unavyojisikia.

Busara ni kukaa nao chini na kuwasikilliza huo ni wajibu wa serikali na kuyafanyia yaliyo realistic, kama swala machinga mbele ya maduka yao.

Lakini hakuna sababu ya kulazimisha wenye maduka kufungua, hiyo sio huduma muhimu kama hospital, usafiri au chakula kusema italeta shida kwenye jamii.

Madai yenyewe mengi hayana kichwa, wala miguu ni watu wanaoishi lała land tu.
 
Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.

Huwa ni hand to mouth.
Je, unayajua bayana madhara yatokanayo na migomo ya Wafanyabiashara wa Kariakoo hata mgomo wa siku moja tu??Unayajua madhara yake???
FYI: There is a lot of other multiplier effects apart from loss of income to the Government in terms of taxes.
 
Back
Top Bottom