Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Uncle kashindwa kutafuta muhasibu akampa 2m akomae na TRA yeye aendelee na mambo yake ?mimi kwenye biashara yangu wananijua ni sheria kwa sheria ,utaalamu kwa utalaamu hawalambi hata 100 kila kitu kimenyooka.Sisi ndio wale wachache tuna enjoy VAT returns wengine kwa kutokujua na ubahili wanajua ni siasa za TRA ,ukiwa na mtaji wa 200m + usicheke na TRA na mahesabu , tafuta dogo mwenye CPA anayejua alichoisomea akakomae na TRA.TRA walimtia uchizi uncle wangu na biashara ya 300m wakamdai kodi ya 700m. Mpaka leo anakesha bar tu. Pumbavu sana