Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Tena unayastua mabenki ya kibiashara kupiga minada midhamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani kupata mtaji wa kufungua biashara Kariakoo ni rahisi?, watu wametoa kafara mama zao halafu unaleta uporaji wa mitaji ya watu kirahisi?Hao wafanyabiashara hawana lolote zaidi ya kutaka kukwepa kodi tu,nawashauri warudishe hizo fremu kwa wenyewe badala ya kuangaika na migomo isiyo na tija.
Ndio maana mtu kama wewe ukigombea nafasi yeyote ile hata mkeo atakupigia kura ya hapana!Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.
Huwa ni hand to mouth.
😂😂😂Hii nchi kuna watu wajinga mno.
Huo mgomo siyo wa Machinga ni wa wenye maduka,Machinga na wao wanachama chaoJana nilikuwa huko Kariakoo.
Kuna mgawanyiko baina ya Wafanyabishara.
Wapo watakaofungua na wapo watakaofungua.
Nilisikia Machinga wakisema wao sio wafanyabiashara. Wao wana umoja wao hivyo wao watafungua.
Wamachinga ni wale wenye vimeza wanaokaa na kuziba njia
Hujaona kwaniHuu uzi mpaka Sasa hakuna picha hata moja,
Sio haki
Ndiyo wakatoe kafara nyingine ili wawe wanapata pesa tu bila kulipa kodi,wao ukienda kununua kwao wanakutoza hadi hesabu ya kodi lakini badala ya kulipa TRA wanataka waile wao!Unadhani kupata mtaji wa kufungua biashara Kariakoo ni rahisi?, watu wametoa kafara mama zao halafu unaleta uporaji wa mitaji ya watu kirahisi?
na ujinga huu unakuwaje rais, labda wa wajingaMbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.
Huwa ni hand to mouth.
Hakuna anayekataa kulipa kodi ila watu wanachokataa ni kodi kandamizi pekee.Ndiyo wakatoe kafara nyingine ili wawe wanapata pesa tu bila kulipa kodi,wao ukienda kununua kwao wanakutoza hadi hesabu ya kodi lakini badala ya kulipa TRA wanataka waile wao!
Mbagakuvunja kufuli la serikali ni kosa la jinai.
UmasikiniMbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.
Huwa ni hand to mouth.