MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

Nadhani ni muda muafaka serikali yetu inabidi iangalie madai haya kwa umakini sana na kwa kitaalamu.

IMG-20240623-WA0008.jpg


Kwa sababu haya yanatokana na UONGOZI mbovu na mlundikano wa mikopo katika serikali yetu nido maana inaweka mzigo mkubwa kwa wafanya biashara
 
Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri

Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO,

Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO.

Karibu sana

📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia

☎️0748 270 719
Howo-371-dump-truck-for-sale-1-100885.jpg
IMG-20240613-WA0003.jpg
IMG-20240613-WA0005.jpg
 
Wanajitingisha Kwa sababu Watumishi wa serikali ndio Wenye mitaji hapo Kariakoo 😂
Na kupitia mgongo wa wafanyabiashara, nao wanaipinga Serikali, kwa kuwa hawapendezwi na sera za Serikali ila hawana jinsi.
 
Wajinga hao, ngoja soko la Ubungo likamilike, mchina analeta mzigo moja kwa moja, wafanyabiashara wanachukua bila udalali. Ni ujinga wa watu wa kariakoo kuwashawishi wafanyabiashara wa kigeni wasichukue risiti, baadae wakitoka nje ya kariakoo wanakamatwa, wakikamatwa hao wafanyabiashara wanawaruka. Pumbafu sana, na ndio inafanya wageni wakimbie

Serikali itengeneze karikoo zaidi ya nne hapo jijini, hii itaondoa hali ya monopoly kama ilivyo kwenye sukari.
kariakoo ni kariakoo..ooh!!
 
Back
Top Bottom