Kwa hivyo hayo ndio malalamiko yako.
Hivi unaelewa kwenye hilo kontena serikali inacho jali popote utakapomua kuliingizia Tanzania kuna CIF (ambazo kwa EAC) ni same rate mengine port charges (that has nothing with TRA).
Baada ya hapo TRA wanakudai VAT input charges (kwa gharama ya uzalishaji wa hizo bidhaa Tanzania) na wewe huko ulipo nunua unatakiwa urudushiwe VAT ya export charges.
Katika kuuza ni hesabu zako minus input tax kwenye bidhaa, weka profit margin zako na output tax (with vat account) uhitaji kuweka double taxation ya VAT.
Anyway wewe sababu yako kuandamana huko kariakoo ni hiyo au kuna nyingine.
Lipieni kodi, ni watu tu mnaamua kujifurahisha mnaonewa bila ya sababu za msingi; ukipekuwa ni ignorance za wafanyabiashara.
TRA waonevu haya, umeonewa vipi hakuna maelezo zaidi ya watu wasiotaka kulipa kodi.