Mgomo Wasambaa Nchi nzima, Wafanyabiashara wa Kyela nao wagoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Maduka yote Mjini Kyela leo 25/06/2024 yamefungwa, ikiwa ni muendelezo wa Mgomo wa wafanyabiasha nchi nzima kupinga dhuluma za serikali kupitia TRA, kuwakamua Wafanyabiashara hadi watoke damu.

Wengi waliofuata mahitaji ya watoto wao hasa kipindi hiki kuelekea kufunguliwa kwa Shule, Wamepigwa na butwaa baada ya kukutana na Makufuli milangoni, haifahamiki hali hii itakuwa hadi lini.

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wafanyabiashara wenzangu wa Kyela kwa maamuzi ya kishujaa

 
Kwahiyo kyela ndo nchi nzima mbona kigoma Geita bukoba kila kitu kipo kawaida?
 
Hawa TRA ni wapumbavu Sana sijawahi kuona wapuuzi hawa hawa wanapaswa kuchomwa moto kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…