Mgomo Wasambaa Nchi nzima, Wafanyabiashara wa Kyela nao wagoma

Mgomo Wasambaa Nchi nzima, Wafanyabiashara wa Kyela nao wagoma

Mimi hapa ninachoona ni mkuu wa nchi aongee watu watamsikia,lakini kuwaachia hawa mawaziri kuongelea issue nyeti kama hii hali inaweza kuwa mbaya sana,watu wameshapoteza imani nao,hawaaminiki,mama aongee...
 
Mkuu wa nchi haya mambo ya ndani hana interest nayo kabisa, labda iwe ni kupokea gawio, kuapishana kutengua na kuingia mikataba na kuchukua mikopo
 
Mimi hapa ninachoona ni mkuu wa nchi aongee watu watamsikia,lakini kuwaachia hawa mawaziri kuongelea issue nyeti kama hii hali inaweza kuwa mbaya sana,watu wameshapoteza imani nao,hawaaminiki,mama aongee...
Raisi huenda akaongea uhakika wa suluhisho ukipatikana. Haya matakwa si rahisi serikali iyakubali kiwepesi.
 
Mimi hapa ninachoona ni mkuu wa nchi aongee watu watamsikia,lakini kuwaachia hawa mawaziri kuongelea issue nyeti kama hii hali inaweza kuwa mbaya sana,watu wameshapoteza imani nao,hawaaminiki,mama aongee...
Huyo mkuu wako anajua cha kuongea? au unataka usikie akisema anawaachia DP WORLD wafanye biashara Kariakoo
 
Huu ndio upotoshaji.

Misleading and Dangerous.

Mgomo ufanyike Kyela, waseme "Nchi nzima"

CHADEMA ina mbadala upi wa Kodi? Ina sera gani za Kiuchumi na Biashara?

Utawasikia jibu lao...."Katiba mpya"

CHAGUA kwa Umakini 2025.

Kumbuka CHADEMA haitaleta amani ndani ya nchi hii. Sembuse uchumi(ubora wa maisha na wa kifedha) kwa Wananchi wote.

Kumbukeni wakati wanaandama, walisema wazi kabisa, kwamba "mpaka uchumi usimame" Wananchi wanateseka kwa uchochezi na uharakati wa CHADEMA.
 
Chadema haifanyi biashara yoyote kwahiyo haihusiki na mgomo wa wafanyabiashara
 
Yaani mgomo huu umeitishwa na Wafanyabiashara wenyewe kwa sababu wana mgogoro na TRA, Usiingize Chadema
Sawa. Ila usinipangie ni nani anayehusika na uhujumu wa uchumi huu.

Wakati CHADEMA ikiandamana ma hata baadhi za Uzi zenu za WANACHADEMA, mmekuwa mkichochea migomo ifanyike nchi nzima.

Nasema kwa uhakika kabisa, CHADEMA mnahusika, mlisema wenyewe wakati wa maandamano " mpaka uchumi usimame" itoshe, mnasherehekea mgomo huu.

CHADEMA inaingizwa moja kwa moja.

Ndio mitaji mliyonayo.

Hatahivyo, hamna sera wala mbadala wa mapato ya Serikali/Taifa kupitia kodi.
 
Maduka yote Mjini Kyela leo 25/06/2024 yamefungwa, ikiwa ni muendelezo wa Mgomo wa wafanyabiasha nchi nzima kupinga dhuluma za serikali kupitia TRA, kuwakamua Wafanyabiashara hadi watoke damu.

Wengi waliofuata mahitaji ya watoto wao hasa kipindi hiki kuelekea kufunguliwa kwa Shule, Wamepigwa na butwaa baada ya kukutana na Makufuli milangoni, haifahamiki hali hii itakuwa hadi lini.

Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wafanyanyabiashara wenzangu wa Kyela kwa maamuzi ya kishujaa

View attachment 3025475View attachment 3025476
Vipi uyole!
 
Back
Top Bottom