Mgomo Wasambaa Nchi nzima, Wafanyabiashara wa Kyela nao wagoma

Mgomo Wasambaa Nchi nzima, Wafanyabiashara wa Kyela nao wagoma

Sawa. Ila usinipangie ni nani anayehusika na uhujumu wa uchumi huu.
Syllo

Hapa hatutakwenda sawa sababu wafanyabiashara na vipeperushi vimeweka wazi kuhusu kuchoshwa na TRA. Ila unachofanya wewe ni kupingana nao, atakuja mwingine kusema hivi CCM imechochea huu mgomo sababu fred vunjabei, Mbwana na Said mqvunde hao wote ni CCM na wamechochea mgomo huu.

Tutakuwa tunaharibu tubaki na kauli ya mgogoro wa wafanyabiashara na TRA.
WANACHADEMA, mmekuwa mkichochea migomo ifanyike nchi nzima.
syllo

Kuchochea lina “negative connotation” tutumie “ kudai sababu migomo ni Haki ya kikatiba na ipo kisheria na si kosa la JINAI.
Hatahivyo, hamna sera wala mbadala wa mapato ya Serikali/Taifa kupitia kodi
syllo

Upo sahihi wanachopaswa wapinzani ni kuonyesha sera zao ili wananchi waelewe zaidi.
 
Una nihemko level za juu mno. Inamwagika.
Nakueleza tena. Wewe waza mikopo na mkeo, ukaona kila mtu anawaza sijui mikopo sijui kodi.
Ukikua utaelewa. Maisha sio kodi wala mikopo, na wapuuzi wachache wanalipa mikopo kila week au kodi kila mwezi.
Ukiwa mfanyabiashara kuna mengi.
Sasa unauza dagaa na stationery mzingaombwe juu huko. Ujue maisha ya watu na kazi yako ya 1.5 ml pay a month.
You are a fckn shit kwenye huu mjadala. Na mpaka uelewe nakwambia day 2 kkoo mgomo. Na majibu yatatoka.
 
Mikopo yako unalipiwa na nani huiwazi?
 
Wanyakyusa Wamesikika wakisema hivi, "BIKUTUKAMA NGATI NG'OMBE LOLI ABHENE BIKULA AMAGARI AMATONGOMAFU NA AGHA NTENGO FIJO" yaani kwa kiswahili ni hivi, "wanatukamua kama ng'ombe halafu wao wananunua magari makubwa makubwa na ya bei mbaya"
Ila wanyakyusa wana shepu na matako makubwa hatari
 
Hujui chchte kuhusu mikopo mzee. Nilikwambia hiyo isiwe point.
Fatilia point ya kipato, chakula, familia, uje hapa sio mikopo haswa kkoo. Hiyo huiwezi kuongelea ww kijana. Huwezi
Unalipiwa na nani mikopo acha mbwembwe mpaka usiiwaze ukiamua kufunga biashara? Unadhani biashara zinapofungwa hilo halipo akilini?
 
syllo

Kuchochea lina “negative connotation” tutumie “ kudai sababu migomo ni Haki ya kikatiba na ipo kisheria na si kosa la JINAI.
PAmo,
Nilichoandika hakikutoka kichwani mwangu.

Kuna Video hapa JF niliweka ikiwa na sauti za waratibu n waandamizi wakati wana andamana- Maandamano ya CHADEMA nchi nzima- na walisikika wakisema "...hapa mpaka Uchumi Usimame...! kama huo sio uasi na uchochezi ni nini? Haki ya katiba inasema Usimamishe shughuli za Kiuchumi?
 
Sawa. Ila usinipangie ni nani anayehusika na uhujumu wa uchumi huu.

Wakati CHADEMA ikiandamana ma hata baadhi za Uzi zenu za WANACHADEMA, mmekuwa mkichochea migomo ifanyike nchi nzima.

Nasema kwa uhakika kabisa, CHADEMA mnahusika, mlisema wenyewe wakati wa maandamano " mpaka uchumi usimame" itoshe, mnasherehekea mgomo huu.

CHADEMA inaingizwa moja kwa moja.

Ndio mitaji mliyonayo.

Hatahivyo, hamna sera wala mbadala wa mapato ya Serikali/Taifa kupitia kodi.
Itakuwa ni baraka sana ikiwa Chadema inao ushawishi mkubwa kwa kiwango hiki, Asante Mungu
 
Back
Top Bottom