Mgomo Wasambaa Nchi nzima, Wafanyabiashara wa Kyela nao wagoma

Ingekuwa Bora zaidi kama inafanyika hivi nchi nzima.ndio majibu ya uhakika yangetokea na Kila mfanyabiashara angerizika,vinginevyo yataendelea kutokea haya haya Kila wakati.
 
Mimi hapa ninachoona ni mkuu wa nchi aongee watu watamsikia,lakini kuwaachia hawa mawaziri kuongelea issue nyeti kama hii hali inaweza kuwa mbaya sana,watu wameshapoteza imani nao,hawaaminiki,mama aongee...
Unafikiri yeye haoni?

Basi tu ameamua kula buyu kwasababu anajua watanzania hawana guts za kumtingisha kiasi mpaka aone kuna haja kuingilia kati kunusuru hiyo hali isijotokeze.
 
Unafikiri yeye haoni?

Basi tu ameamua kula buyu kwasababu anajua watanzania hawana guts za kumtingisha kiasi mpaka aone kuna haja kuingilia kati kunusuru hiyo hali isijotokeze.
Dawa ni moja tu, mapinduzi ya kijeshi.
 
Usishangae ikawa kama kwa kina Odinga
 
Kama ni chadema sasa sawa wewe umeamuaje
 
Kwenye finance bill yetu naomba aliesoma akaielewa anielemishe mpango mkakati uilopo kuongeza pato la nchi effectively kupitia

1. Hifadhi za kitalii
2. Madini
3. Gesi
4. Maziwa
5. Bahari
6. Makamaa ya mawe
7. Misitu
8. Ardhi iliyopo hasa fertile land
9. Nchi kukaa sehemu ya kimkakati ina uwezo wa kuhudumia nchi 6 za land locked countries (Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Congo Na Malawi) kuzalisha matrilion ya shilingi.

Naomba kujua kama vina msukumo wa kutosha, tofauti na kukandamizia focus kwenye tozo na kodi kwa wananchi.
 
Maumivu ya kichwa huanza Taratiiibuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…